TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Salaam,

Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kupitia tiketi ya chama cha CCM, ndungu Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo.

Update zote kuhusu maziko, ugonjwa na msiba nitaleta hapa..

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Innalillah wainna ilayhi rajiuun.

===
View attachment 2675227
Kupitia ukurasa wa WhatsApp wa M/kiti UVCCM Wilaya Mbarali, Medson Mwambapa (Sweetbert); Mbunge wa Mbarali, Francis Mtega amefariki kwa ajali ya Pikipiki aliyokuwa anaiendesha akitokea shambani kwake kugongana na trekta.
View attachment 2675242
Siyo mbaya amekufa siku ya birthday yake
 
pole kwa wafiwa hiv yupo kwenye ile listi ya dubai
 
Mbona maelezo ni ya utatanishi? Mara alikuwa anaendesha mwenyewe mara alikuwa anaendeshwa nk nk

Mbona majeruhi wengine wa ajali hawatajwi?
 
Back
Top Bottom