TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani mbeya, Francis Mtega amefariki Dunia kwa ajali jimboni kwake Mbarali.

Mbunge huyo amefariki Dunia kwa ajali ya pikipiki iliyotokea maeneo ya Chimala wilayani Mbarali baada ya kugongana na Pawatila akiwa anatokea shambani.

Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa mbunge huyo alikuwa anatokea shambani kwake na ndipo akakumbana na ajali hiyo.

TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA
Bodaboda vs pawatila pole ya wafiwa
 
DP World ni jini... litatumaliza sote tulikemee lipotelee mbali.

Msalimie Magufuli mwambie bunge aliloliunda kwaajili yake sasa limegeuka zimwi linalokula watu..
Hii post ipewe maua yake. Tusiangalie tulipo angukia bali tulipo jikwaa. Upuuzi wote founder ni JPM maana alitengeneza bunge lake ambalo ni sumu kwa taifa na kizazi chake. RIH JPM
 
Back
Top Bottom