TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Wewe ni miongoni mwa Wana chadema wachache Sana wasioweza hata kujaa kwenye kiganja wanaojitambua na wenye utu na ubinadamu na wanaotambua kuwa masuala ya kifo hayana chama na hayahitaji uchama.

Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na fadhila akubaliki kwa moyo wako wa uungwana na upendo,moyo wa utanzania,moyo wenye hofu ya Mwenyezi Mungu,moyo wa kujuwa Duniani tu wapitaji,moyo wa kujuwa masuala ya vifo humkumba yeyote na hutua popote bila Hodi na moyo wa kujuwa Mwenyezi MUNGU humchukua yeyote kwa wakati atakao bila kujali chama chake.

Hongera Sana kwa moyo wako huo,Endelea hivyo kuujaza moyo wako upendo,utu, uungwana, ubinadamu,hofu ya Mwenyezi Mungu,utanzania na huruma.

Achana na wanaoshangilia kwa kuwa tu hakuwa wa chama chao,.
Kawaida sana kwani kusema pole ndio kubadili dhamira?.
 
Back
Top Bottom