TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Lema aliposema Bodaboda ni kazi ya Laana CCM walimshambulia Kwa Matusi na Kejeli
 
Sio ajabu, majuu Waziri mkuu anatembelea baiskeli kabisa
David Cameron PM wa England (mstaafu) alikua anatumia baiskeli kutoka nyumbani kwake North Kensington mpaka kazini kwake Westminster.(Jiji la Ofisi za Serikali)
 

Attachments

  • cameron-cycle-415x488.jpg
    28.4 KB · Views: 5
Alikua mbunge wa CCM sio mbunge wa Mbarali kwani hakuchaguliwa kwa haki.
The devil is a liar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…