TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

Mjuze mwarabu wa Dubai ashughulikiwe mazishi ya chawa huyo
 
Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani mbeya, Francis Mtega amefariki Dunia kwa ajali jimboni kwake Mbarali.

Mbunge huyo amefariki Dunia kwa ajali ya pikipiki iliyotokea maeneo ya Chimala wilayani Mbarali baada ya kugongana na Pawatila akiwa anatokea shambani.

Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa mbunge huyo alikuwa anatokea shambani kwake na ndipo akakumbana na ajali hiyo.

TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA
 
 
😭
 
Nasubiri kuona kampeni za CHADEMA kwenye hili jimbo maana wananchi wanahasira sana kuanzia sakata la ardhi na sasa DPW. Muda utaongea CCM itaona upepo unaelekea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…