TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

enzi za jk. jina lake lilitajwa sana na wanamziki wa dansi, sikujua kuwa ni dereva, nilijua ni mfanyabiashara fulani mkubwa. Rip kwake.

nakumbuka pia hata fikiri madinda alikuwa ni dereva tu wa maliasili ila umaarufu wake haukuwa wa mchezomchezo.
Madinda alikuwa Dereva wizara ya Kilimo
 
Namkumbuka sana huwa Aboubakary Sadiq kwa Fujo radio 1 anampaisha sana Frank Malecela Muboss.

Tahadhari ni zile zile hazijabadilika.
 
Back
Top Bottom