Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

He is good person in general, he wasn't gay then. Still I don't believe he is. He used to hang out with girls and was artistic in music. I think we shouldn't judge .Seen alot of negativity about him lately, ila in person ni mwana sana. He is more of a dragqueen than gay. He even had a girlfriend backthen, things were fine. Unless you know time and courage.


Mwenyewe unajiona umepatia sana kwa vile umeandika kizungu? Huyo ni shoga kama mashoga wengine.
 
Huoni rainbow hiyo....[emoji1787][emoji3][emoji1787][emoji28]
Screenshot_20220907-010151.jpg
 
Frank case yake ni abnormal kabisa.
Sema sijajua kwann familia yake hawakuchukua juhudi za matibabu. Maana kwao ni well-off family. Sijawahi kumdhihaki. Huyu ni tatizo toka utoto wake.
Sema nasikia zile sindano za kuboresha hormones ni aghali sana..kwetu hapa nchini sidhani kama zinapatikana.
 
Kabisa,
Wazazi wanapswa kulaumiwa,
Pia hata hizi shule zenye uzungu mwingi Ni Changamoto sana
Kwanini wazazi walaumiwe... huyu unaambiwa kazaliwa hivyo na hormones za kike nyingi, sasa kama wazazi wana kosa gani? Hapa ni kumshukuru Mungu tu, usiombee ikutokee.. huyu sio kama hawa wengine unaona kabisa wanajifanyisha kwa ajili ya njaa, au waliharibiwa wakiwa watoto.
 
bila shaka wazazi wake wanajisikia raha sana.
Soon watapokea mahari..
 
Sema huyu ata tulipokuwa pale Tusiime alikuwa ni kama dem tu, anavyoongea, anavyotembea, anavyokimbia, marafiki zake, club aliyokuwa ni designing ambayo ni ya madem tu, ata ukimuona kwa mala ya kwanza ni kama unaona dem, walikuwa mbele yetu sana ila alikuwa dem tu tangu mwanzo, naskia hakuwa na mambo ya kishoga ila sahv na hizo picha 'mmmhhhh!!'

Ukisikia Woman trapped in man's body ndo huyu sasa
Huenda ana Jinsia mbili. Iliyo active Sasa hivi ni ya Kike.
 
Frank case yake ni abnormal kabisa.
Sema sijajua kwann familia yake hawakuchukua juhudi za matibabu. Maana kwao ni well-off family. Sijawahi kumdhihaki. Huyu ni tatizo toka utoto wake.
Sema nasikia zile sindano za kuboresha hormones ni aghali sana..kwetu hapa nchini sidhani kama zinapatikana.
Some times huwa zinadundaa, na TZ Haipo hiyo, ni Nairobi pekee kwa East Africa inapatikana, gharama zake sasa ndo mtihani.

Mweeeeeeh.
 
Back
Top Bottom