Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Vaa viatu vyao alafu tuambie ungefanyaje? Usitukane mamba kabla hujavuka mto.

Haya mambo ni kuomba tu yasikukute maana ni changamoto kubwa.
Usikute huyu umaemwambia asiombe yakamkuta inawezekana kizazi chake alikulia chips mayai[emoji2]
 
Una point mkuu kubwa tuu
Sie zamani ndio tumelelewa hivyo, nyumbani kama guantamo bay.. Mtoto unatoka home unaenda chuo una ukakamavu wa hali ya juu plus nidhamu.. Na mie mdingi hadi chuo alikuwa wakati mwingine anaibuka kuona nina maintain nilivyotoka home.. Hawa wa sasa hivi mzazi hajui mtoto anishije anakaa vipi ana jihusisha na makundi yepi hatari sana.. Mtoto hajawai pigwa fimbo na kufungwa kamba na kushinda njaaa 🤠🤠🤠
 
Mwanamziki!!? Kaimba wimbo gani
JamiiForums-1877467598.jpg
 
Nasikia ni mtamu balaa sema ratiba yake iko tight hapatikani kirahisi kabisa
 
Nasikia ni mtamu balaa sema ratiba yake iko tight hapatikani kirahisi kabisa
Hahahahaha daahhh..Kuna huyo,Kuna yule muuza cake maarufu mjini na yule fundi WA nguo wa mjini hapa maarufu ana jina la kihaya Yaani hao ni machoko afu Wana mtandao mpana sanaa wa wakubwa na kina mmoja bosa wa mtandao wenye Kasi zaidi mjini[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom