Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Khee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki.
Picha zake zinanipa shida kubwa Sana na sijui how ntarecover na Nachokiona. Sikubaliani na hii kitu, Wala sitaki pia kuhukumu lakini naamini jamii inaweza kutoa msaada kumtoa huko alipo.
Kuna wanasema suala la hormones, lakini hili si linatibika?
WILL IAM msanii wa kundi la Black Eyed Peas kwenye moja ya verse zake kwenye wimbo wa Where is the love anasema....
"...What's wrong with the world, Mama?
People living like they ain't got no mamas
I think the whole world's addicted to the drama
Only attracted to things that'll bring you trauma.."
View attachment 2341958View attachment 2341959View attachment 2341960View attachment 2341961
Haha she has been trapped in a man's body for a long time so she decided to "come out"Sema huyu ata tulipokuwa pale Tusiime alikuwa ni kama dem tu, anavyoongea, anavyotembea, anavyokimbia, marafiki zake, club aliyokuwa ni designing ambayo ni ya madem tu, ata ukimuona kwa mala ya kwanza ni kama unaona dem, walikuwa mbele yetu sana ila alikuwa dem tu tangu mwanzo, naskia hakuwa na mambo ya kishoga ila sahv na hizo picha 'mmmhhhh!!'
Ukisikia Woman trapped in man's body ndo huyu sasa
Kama kamaliza mwendo vile.Hyo picha aliyovaa gauni kageuka nyuma.ni lawama tupu
Anakuweka majaribuni kabisaKama kamaliza mwendo vile.
😁😁😁 kwa haraka haraka wazee wa kubambia unaweza shangaa unabambia kidume pindi unataka kupima oil kama safi au ya kunadilisha.. Vijana wengi wameharibika hasa wa sinza hali si shwariAnakuweka majaribuni kabisa
Mungu ni mpole sana.ila vingenevyo leo hii tusingekuwepo😁😁😁 kwa haraka haraka wazee wa kubambia unaweza shangaa unabambia kidume pindi unataka kupima oil kama safi au ya kunadilisha.. Vijana wengi wameharibika hasa wa sinza hali si shwari
[emoji23]Yupo humu sio cocastic huyu
Mungu kuna kipindi anapata hasira, si mpole wakati wote. Kizazi kikizidi ukaidi huwa anapiga mapigo yake.Mungu ni mpole sana.ila vingenevyo leo hii tusingekuwepo
Kakubali kukosa utelezi wa warembo wazuri wazuri wenye miguu ya bia na misambwandaHuyu tayari inaonekana kashakabidhi uwemba wake kwa wasafisha mitaro...
Sasa hivi watoto ni kuwale kikale zamani kinoko noko, fimbo viboko kazi za kiume kama kambi ya jeshiDaah! Karne hii, kama mzazi ukiwa na mtoto wa kiume. Inabidi umuangalie kwa jicho la tatu
Hili kundi la muziki ni la Watanzania? Na malengo yake hasa ya muonekano huu ni nini?Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki.