Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Daaah
Aisee
Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki.

Picha zake zinanipa shida kubwa Sana na sijui how ntarecover na Nachokiona. Sikubaliani na hii kitu, Wala sitaki pia kuhukumu lakini naamini jamii inaweza kutoa msaada kumtoa huko alipo.

Kuna wanasema suala la hormones, lakini hili si linatibika?

WILL IAM msanii wa kundi la Black Eyed Peas kwenye moja ya verse zake kwenye wimbo wa Where is the love anasema....
"...What's wrong with the world, Mama?
People living like they ain't got no mamas
I think the whole world's addicted to the drama
Only attracted to things that'll bring you trauma.."

View attachment 2341958View attachment 2341959View attachment 2341960View attachment 2341961
 
Nashangaa anahangaika nini na jinsia ya mme ni bora angeenda ke tangu mwanzoni?unawezaje kusema we ni mwanaume halafu unavaa nguo za kike?
 
Sema huyu ata tulipokuwa pale Tusiime alikuwa ni kama dem tu, anavyoongea, anavyotembea, anavyokimbia, marafiki zake, club aliyokuwa ni designing ambayo ni ya madem tu, ata ukimuona kwa mala ya kwanza ni kama unaona dem, walikuwa mbele yetu sana ila alikuwa dem tu tangu mwanzo, naskia hakuwa na mambo ya kishoga ila sahv na hizo picha 'mmmhhhh!!'
Ukisikia Woman trapped in man's body ndo huyu sasa
Haha she has been trapped in a man's body for a long time so she decided to "come out"

Yeah alikuwaga anabana sana sauti halafu akitembea anapiga bonge moja la catwalk huku vidole vya mikono kavinyanyua kama mdada

Yani company yake kubwa ilikuwaga ni wadada tu dah
 
Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki.

Picha zake zinanipa shida kubwa Sana na sijui how ntarecover na Nachokiona. Sikubaliani na hii kitu, Wala sitaki pia kuhukumu lakini naamini jamii inaweza kutoa msaada kumtoa huko alipo.

Kuna wanasema suala la hormones, lakini hili si linatibika?

WILL IAM msanii wa kundi la Black Eyed Peas kwenye moja ya verse zake kwenye wimbo wa Where is the love anasema....
"...What's wrong with the world, Mama?
People living like they ain't got no mamas
I think the whole world's addicted to the drama
Only attracted to things that'll bring you trauma.."

View attachment 2341958View attachment 2341959View attachment 2341960View attachment 2341961
Hili kundi la muziki ni la Watanzania? Na malengo yake hasa ya muonekano huu ni nini?
 
Back
Top Bottom