Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Daaah
Aisee
 
Nashangaa anahangaika nini na jinsia ya mme ni bora angeenda ke tangu mwanzoni?unawezaje kusema we ni mwanaume halafu unavaa nguo za kike?
 
Haha she has been trapped in a man's body for a long time so she decided to "come out"

Yeah alikuwaga anabana sana sauti halafu akitembea anapiga bonge moja la catwalk huku vidole vya mikono kavinyanyua kama mdada

Yani company yake kubwa ilikuwaga ni wadada tu dah
 
Hili kundi la muziki ni la Watanzania? Na malengo yake hasa ya muonekano huu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…