Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
20,694
Reaction score
32,527
Nimeziona baadhi ya picha za mtanzania mwenzetu na mwanaume mwenzetu Frank Maston. Ambae pia ni mwanamuziki.

Picha zake zinanipa shida kubwa sana na sijui how ntarecover na nachokiona. Sikubaliani na hii kitu, wala sitaki pia kuhukumu lakini naamini jamii inaweza kutoa msaada kumtoa huko alipo.

Kuna wanasema suala la hormones, lakini hili si linatibika?

William msanii wa kundi la Black Eyed Peas kwenye moja ya verse zake kwenye wimbo wa "Where is the love" anasema....
"...What's wrong with the world, mama?
People living like they ain't got no mamas
I think the whole world's addicted to the drama
only attracted to things that'll bring you trauma.."

Screenshot_20220901-132539_1.jpg
Screenshot_20220901-132519_1.jpg
Screenshot_20220901-132349_1.jpg
Screenshot_20220901-132339_1.jpg
 
Sema huyu ata tulipokuwa pale Tusiime alikuwa ni kama dem tu, anavyoongea, anavyotembea, anavyokimbia, marafiki zake, club aliyokuwa ni designing ambayo ni ya madem tu, ata ukimuona kwa mala ya kwanza ni kama unaona dem, walikuwa mbele yetu sana ila alikuwa dem tu tangu mwanzo, naskia hakuwa na mambo ya kishoga ila sahv na hizo picha 'mmmhhhh!!'

Ukisikia Woman trapped in man's body ndo huyu sasa
 
Kuna maneno hua anayasema Dudu baya ( Konki Putin) akielezea kua wasanii wengi na wanamitindo ni mashoga, mwanaume rijali hawezi kua hivi hata siku moja kwanza atakataa hii kazi hata kama ina pesa, mbaya zaidi wanaofadhili haya mambo ya kishoga ni mamtu yenye pesa huko nje na yanaweza kuja kwa uso wa mitindo au misaada, au haki za binadamu, wanaume wavivu na wapenda starehe wanaweza kuingia kwenye hili wimbi

Nasema MWANAUME hang'ai uso na ngozi hata siku moja

Sent from my RMX2185 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom