Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Frank Maston picha zake zinanipa shida kuamini ninachokiona

Nimejaribu kwenda Kweny acc. Yake Ya Instargam nimejionea UMAMA mwingi mnoo... Naombeni kuwauliza ni Kigezo gani kiliwadhibitishia kuwa huyu ni Mwanaume? (Naombeni sana msiniambie ni Jina).

Mimi na Akili zangu tumefika mwisho kwa kuhitimisisha huyu siyo MWANAUME! Naomba mtutake Radhi WANAUME wote kwa Kutusingizia kweny Jambo hili.
 
Kiukweli huyu jamaa nlikuwa simfahamu.ila nikaenda kumtafuta youtube.Nimejisikia vibaya kwa kweli .mtoto wa kiume kubadili hadi sauti ili tu uwe kama mwanamke hii kitu sio nzuri.Ni laana.

Nimalizie kwa hadithi ya mtume muhammad swalalhullah alaih wasalam.anasema amelaaniwa mwanamke anaevaa mavazi ya kiume na pia amelaani wa mwanamume mwenye kuvaa mavazi ya kike.

Hapa ni moja kwa moja wanaume wote wamelaaniwa kwa kuvaa nguo za kike .
 
Back
Top Bottom