Ni ya kike na yeye kajiweka hivyo pia . Aliulizwa kwanini anavaa kike akasema ubunifu na utofauti isitoshe yeye ni mwana mitindo akaongeza zaidi anataka kuufikisha mziki mbali.
.Zipo
Hii hapa.Zipo
Huyu ameumbwa hivyo, huoni Ana hips kabisa, hajajiumba.We acha tu. Tukiona hivi wenye watoto wadogo wa kiume unaumia roho na kuingiwa na woga.
Mungu hawaepushie mbali balaa hili watoto wetu.
Huyo mwalimu ndo alimwotesha hips?Naskia alifundishwa mchezo na mwalimu wake wa primary shule ya st.marys.
Shule hizi. MUNGU atunusuru
[emoji1666][emoji1666][emoji1666]Asante Kwa kuliona hiliHuyo kijana hakujichagulia hayo maumbile
Ni msanii wa nyimbo pia anafanya modelingNdiyo nani huyu
Ova
Wakati mwingine malezi ya wazazi yanachangia kumuharibu mtoto, jaribu kufuatilia Irene Uwoya anavyomlea mtoto wake wa kiume, siku nikisikia amekuwa choko sitashangaaWote humu ni wazazi na wengine ni wazazi watarajiwa!!so tujitahidi sana kutokejeli wala kutusi mtu yoyote mwenye tatizo la kimaumbile especially kwa sisi wanaume tusipende kuwakashifu/kuwakejeli watu kama hawa kina Frank, naamini hakupenda kuwa hvi but nature ndo inamlazimisha ie jinsi alivyozaliwa na hormones za kike!!
Tumuombe MUNGU sana mitihani kama hii isikupate katika uzao wako, inaumiza na kufedhehesha sana but ndo hvo wakati mwingine mapenzi ya MUNGU hakuna wa kuyabishia!!tukumbuke !!KARMA IS A BITCH!!
Poleni wazazi wa Frank, MUNGU ndie anaejua kwa nn kawapa huu mtihani!!
Tutegemee makubwa kutoka kwake πNimemuona mahali yuko mbio π huku akihemea juu juu na tshirt lake kubwa na lenye rangi nyekundu la Mo energy π€!
Bila shaka ndiyo anakuja sasa kuuzindua rasmi huu mjadala. Karibu sana ndugu mgeni rasmi Mheshimiwa cocastic
Mkuu ukimwangalia huyo kijana unaona kabisa jinsi alivyo sio kwa kutaka kwake au sababu ya malezi bali ndivyo alivyozaliwa.Wakati mwingine malezi ya wazazi yanachangia kumuharibu mtoto, jaribu kufuatilia Irene Uwoya anavyomlea mtoto wake wa kiume, siku nikisikia amekuwa choko sitashangaa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawashwa sana eeeh?? Unataka nikupe no yake Frankie? Nilishajifaragua huko juuu Kitamboo sana.