Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

Ahh huyu miaka miwili iliyopita tulikuwa tunaishi mwenge jirani ni mwanaume Ila anapenda fashion afu niliwahi muona vodacom akipiga pic event moja hivi
 
Astakafulilai,Ashakum si matusi,kama ni mwanamme basi ana hormones za kike sana kuliko za mwanamme,sitakosea kumwita NGAPULILA.
 
Huyu dogo nilishawahi mtongoza pale Hill Park sema nilikuwa sina hela enzi hizo. Ila kibongo bongo dogo atatengeneza hela sana kupitia mabazazi yenye pesa
 
aaaghh kama ni mwanamitindo sawa sishngai kabisaaa wana mitindo wengi ni mapunga mkuu..
Sa mbona wanamshonea mishono ya kike?[emoji23][emoji23]kuna mwanamitindo mwingine alivaa high heels[emoji23]skuna
 
Back
Top Bottom