Nani wa kumnunulia huo usafir masela si unajua tena!Joshua ok mbona unafufua kaburi la haraiki.
Namfahamu huyu chalii, kina siku kanipita maeneo ya Survey daaah ilikuwa balaa, yaani ana tako kabisa. Dogo anapata shida sana, bora atafute hata usafiri private.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipaji hicho kinawakilisha wanaume wa Dar, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) shule ya biashara (UDBS).
View attachment 687493 View attachment 687495
Mkuu namkumbuka pia pale UDSM alikiwa na company ya mabinti tu.. Anajipodoa mixer kupaka lipbam na wanja..huyu dogo nilimuacha pale udsm..nadhani ni.amezaliwa hivyo alivyo..Ana homoni za kike kabisa..Mungu amsaidie tu.
Naomba namba zake inbox
Bado mkuuNilidhani nimeona kila kitu
Mkuu sometimes homoni zinazinguaNa nyie Wazazi wenye vijisenti msiwape Raha sana watoto wenu mpaka mkawaharibu,.Waacheni watoto wapate Shuruba kwa kazi za nyumbani,Mara panda juu ya Dari kalete hiki mara Kajenge Banda la kuku au hata Kulima na Kazi zozote Ngumu.Siyo Mtoto kidogo tu mara Mlimani City kula Ice cream mara Kameenda picnick Zanzibar sijui kameenda Tution ya kichina Mara oooh Kanaliwa.