Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Tumia akili

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
66
Reaction score
1,232
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
 
Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.

Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
 
Utamuita zuzu labda kama hujawahi kumfatilia angalia huu mtandao unaweza kuta unabishana na wenye maamuzi ya nchi na wanaokupangia hata bei za bidhaa na wanaoagiza maagizo na ukafata😂
Anajiita the state.
 
Sasa hivi wezi mnatamba muwezavyo, ok sawa tunasubiri kutawaliwa huo mda.
Namba zinagoma labda Kuna mwengine au hiyo namba 12 imeandikwa kimafumbo,ikiwa ni huyuhuyu wale mbuzi wanaokula kwa urefu wa kamba zao kwa miaka 12 watakuwa wameshakata na kamba wataanza hadi kufukuza simba na chui hadi mamba watavamiwa huko majini!
 
Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.

Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Tumia akili awe mwangalifu au ww uwe mwangalifu
 
Sasa hivi wezi mnatamba muwezavyo, ok sawa tunasubiri kutawaliwa huo mda.
Aisee halafu strategy wanayotumia Sasa Ni Ile ya kuteua watoto wao waendelee pale wazee waliposhindwa.
Angalia majina ya WATENDAJI wa kata. Majina yanajirudia rudia tu.
Kamati zote za Kata zinaongozwa na wale wale wanaouza ardhi ya vijiji.
 
FDR alikua mbaguzi sana.
Katika Olympic games za 1936 Jesse Owens alishinda 4 gold medals, (kitu kilichomfanya Hitler kuondoka uwanjani maana hakuamini kwamba mtu mweusi anaweza kuwashinda wazungu)
Baada ya michezo FDR aliwaita wanamichezo wote wa kizungu kuwapongeza lkn J. Owens mwenye 4 gold medals hakualikwa.
In 1936 Olympic games were held in Berlin. Nazi Germany
 
Back
Top Bottom