raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Ohooooo tumia akili again
Ina maana kuna kiongozi ataongoza hapa for 12 good years
Sikupingi imepita iyooo
Ina maana kuna kiongozi ataongoza hapa for 12 good years
Sikupingi imepita iyooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambacho hujaelewa hapo ni nini? Fungua ubongo huoMkuu, katiba ya Sasa inamtaka aishie 2030
Unasubiri uvushwe na watu wa CCM?Tumia akili, unamanisha huyu mwamba ambaye ni makamu anaweza tuvusha kweli, Mana simwamini nahisi ana philosophy za jiwe ivi
Sasahiv anaitwa HANGAYA cheo kikubwa sana hicho.Huyu Tarzan wa kike alieigiza movie ya wanyama? Hebu tuweni na staha jamani hata kama tunataka kusifia.
Mpango au dr.husein Mwinyi!!Bila shaka ni huyu ninaemfikiria.
2023 - 2025 ( 2yrs ) na ile kumi 2025 - 2035
Last digit za miaka ya FDR ni 3 na 5, kwetu zita'comply na mwaka 2023 na 2035 ile kuleta hiyo miaka 12.Mpango au dr.husein Mwinyi!!
Asking who ? Is simple question sababu ni kama multiple choices unaweza kubashiri na kupatia. The question is How operation 'next stage' is going to be executed ? ama How is this operation 'next stage' is executed ?, Sababu pengine execution was already granted. Hayo ndio maswaliNaichukua sana picha ya Jiwe ,
Unamanisha tutapata kiongozi mpya mwaka 2023, hafu atagombea awamu zijazo , swali ni who?
Itatokea tu kama chenge akiwa speaker...... Samahani nimevujisha mchongo.....msimkate banaAmisa ajiandae kisaikolojia ee duu!!
Kuna mtu atatuongoza for 12 years kwa sababu katiba inadai mtu akishika nafasi ya uraisi for 2 years haiwi kaunted kama Term so anaweza kugombea 2 good terms.
Nahofia Mtu kuondoka na taifa kuingia tena kwenye Msiba wa kiongozi wa juu kabisa
Spika wa bunge---> Mabadiliko ya katiba-----> ?????Last digit za miaka ya FDR ni 3 na 5, kwetu zita'comply na mwaka 2023 na 2045 ile kuleta hiyo miaka 12.
Raisi Mwinyi anakujaje kuwa tena Raisi Mwakani ?
Asking who ? Is simple question sababu ni kama multiple choices unaweza kubashiri na kupatia. The question is How operation 'next stage' is going to be executed ama How is this operation 'next stage' is executed, Sababu pengine execution was already granted
Last digit za miaka ya FDR ni 3 na 5, kwetu zita'comply na mwaka 2023 na 2035 ile kuleta hiyo miaka 12.
Raisi Mwinyi anakujaje kuwa tena Raisi Mwakani ?
Asking who ? Is simple question sababu ni kama multiple choices unaweza kubashiri na kupatia. The question is How operation 'next stage' is going to be executed ? ama How is this operation 'next stage' is executed ?, Sababu pengine execution was already granted. Hayo ndio maswali
Kwani wanashindwa kuuwana kimya kimya mpaka waje kututangazia na kujisifu kuwa wao ndo wamemuondosha mtu flaniNaona mnataka kumuua na huyu mama ili mumuweke huyo mrundi wenu