Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Kongole kwako umwjibu bila mihemko na huo ndio ukweli.

Tusifananishe visivyofanana
 

Nalikuwa ktk maono ya usiku kabla ya KUPAMBAZUKA, ni siku moja kabla ya kikao Cha kuwatimua COVID-19.

Nilimwona mkt akitamka maneno Kwa msisitizo kuhusu jambo Fulani, pembeni nalimwona mzee ana asili ya kiarabu pembeni yake kikaoni, mzee huyu pekee ndo alikuwa akitikisa KICHWA kuashiria kukubaliana na mkt.

Bt KUNDI kubwa la watu kikaoni walionekana kutomwelewa mkt alichokuwa anasisitiza. Baada ya kikao nimemsikia Lema Kwa space akiongelea maneno Yale Yale ambayo wanachama walilalamika juu ya mkt.

Malalamiko niloyasikia ni Kuwa, mkt anajiweka ktk risk kwenda Kwa mahasimu wake akiwa pekeake bila kuchukua tahadhari.

Nabii mmoja alinisimulia alichoona, aliona kundi kubwa la watu wengi sana wamebeba bendera yenye RANGI ya bluu na red wakipiga kelele wakiwakimbiza watu waliokuwa wamekalia viti vyekundu kwenye jumba kubwa.

Nimekuwa nikiomba binafsi Ili tusipate kitabu kile Kwa njia alioiona Nabii yule. AMEN.
 
Aisee ,na wewe sasa umeanza kunitisha mkuu.
 
Nenda fanya utafiti. Nimesema wanahakikisha Watawala ni watu ,"WAO" habari ya dini zao ni zuga tu. Ndugu Mimi sijui kubishana, Wala KULALAMIKA, nikiona jambo haliko sawa natafuta SOLUTION Kwa njia ya rohoni kupitia MAOMBI.
Ya rohoni ni ngumu kutafsirika mwilini hujawahi kukuta mtu anasema matatizo haya ni sehemu ya maisha yake?

Hali nyama,samaki, maziwa na vyakula vizuri kisa akila eti anawashwa ana allergy ya hivyo vitu.

Kila akipata hela anapatwa na msiba, magonjwa, mkopo, zinapotea kwa uzembe tu,vitu vinaharibika...halafu yuko poa tu anakwambia ni maisha tu ndio kawaida yangu.

Sasa kumuelewesha kwamba hiki siyo kitu cha kawaida wanakuwa wabishi sana hawezi kukuelewa. Lakini wakati huo huo anayatamani maisha yako ya off stress.
 
Ni story tu ndugu. Hujawah sikia habar za magonjwa ya kurithi, hutizami jinsi umaskini na level ya maisha ya Watanzania inafanana? Mambo hutokea juu huko yalipoanzia.
Kama Lango likiwa bovu na laana, vyote huteremka mpaka chini kwa watu wote. Ila likiwa na baraka ,hivyo hivyo hushuka hadi kwa watu wote.

Jambo lolote linalotokea mwilini halifanyiki pasipo kuanzia rohoni. Rohoni matokea yake ni mwilini.
 
Watu wengi huwa hawapendi kuzungumza hizi mada kwasababu kwenye nafsi zao wanakosa amani, wanaogopa, wanatishika...kwasababu nguvu yao ya kiroho iko chini sana au hawana kabisa wanahisi wataumizwa.

Au wanajua nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa roho kulingana na kila mmoja yupo upande gani.
 
Betina akiona hizi likes 100+ anamtafuta Zena 🤣🤣🤣
 
Ni maombi yangu mazungumzo yaendelee, tupate Kitabu kipya Kwa AMANI Kwa maslah mapana ya nchi, kufa Kwa chama it's not a big deal Kwa Watanzania. AMEN.
 
0933; Anayekwenda kukabidhiwa kiti ni ASKOFU GWAJIMA. MUNGU ibariki TANZANIA.Amen.
Mkuu
Umri wake pia Sio mbaya
KWA Sasa 52 mwakani 53 jumlisha na 12 atastaafu akiwa na 65 ni decent age!
Nadhani hata mwendazake aliwaonya kina Lukuvi kuwa ajaye LAZIMA awe mdogo ki umri na Sio mkubwa kama WAO!!!!
Tumuombee Mungu amlinde Sasa!!!
 
Mkuu
Umri wake pia Sio mbaya
KWA Sasa 52 mwakani 53 jumlisha na 12 atastaafu akiwa na 65 ni decent age!
Nadhani hata mwendazake aliwaonya kina Lukuvi kuwa ajaye LAZIMA awe mdogo ki umri na Sio mkubwa kama WAO!!!!
Tumuombee Mungu amlinde Sasa!!!
Mkuu
Umri wake pia Sio mbaya
KWA Sasa 52 mwakani 53 jumlisha na 12 atastaafu akiwa na 65 ni decent age!
Nadhani hata mwendazake aliwaonya kina Lukuvi kuwa ajaye LAZIMA awe mdogo ki umri na Sio mkubwa kama WAO!!!!
Tumuombee Mungu amlinde Sasa!!!
Katiba mpya kwanza. Tuombee maridhiano.
 
Isdorye tunamjua ni mrundi!tutampa ukuu wa mkoa unamtosha Sana TU!!
Sasa huyo anayekuja ataletwa baada ya mstaafu kustaafishwa maana mstaafu nahisi bado Sana kustaafishwa nahisi bado wapo kwenye mapambano.
 
Hao wenye mamlaka ya juu ya kimaamuzi katika nchi (wengine huwaita the state, deep state), nafikiri ni kama wameyajua maisha baada ya maisha haya. Mipango yao mingi haina hata chembe ya ubinadamu licha ya utu. Ila wawapo machoni pa watu ni watu wema sana. Nina amini kwenye "vile uonavyo mambo yalivyo, sivyo yalivyo".
 
Mkuu
Umewaza Nini!!?

Kwamba hao jamaa ni zaidi ya Upeo wa binadamu wa kawaida!!?

Ni milki ya kiroho inayotenda!!?

KIFUPI HAO jamaa kuna sehemu wanachungulia KWANZA na kutupa kutoa hatma!!
 
Mkuu
Umewaza Nini!!?

Kwamba hao jamaa ni zaidi ya Upeo wa binadamu wa kawaida!!?

Ni milki ya kiroho inayotenda!!?

KIFUPI HAO jamaa kuna sehemu wanachungulia KWANZA na kutupa kutoa hatma!!
Hawa jamaa mambo yao kama vile wanacheza game, hawana empathy kabisa. Wapo simple, smart sana wakiwa off camera hatari.
Kuna hadithi nyingi kuhusu hawa watu. Kuna jamaa nimemsahau jina huko U.S alikua anahutubia moja ya mikutano ya kisiasa kipind Bush Jr ndo head of the house, alisema anasikia harufu ya mjusi (reptilia). Nilisoma hii article kitambo. Unajiuliza yeye kaisikiaje harufu ya mjusi wakati walikua wanadamu tu?!
Naamin wana uwezo mkubwa wa akili ila kuna muda wanapata upeo mahal ambapo ni upeo kuliko upeo wa mwanadamu. Kuna mahali wanayapata haya maarifa kupanga mambo yao.
Ukiangalia karibu deep state za mataifa karibu yote utendaji wao unafanana fana endapo wakitaka kumuondoa ambaye ni kikwazo.
 
Tusubiri huyo FDR wao watamwingizaje!!wengine wameshatabiri hata majina HUMU na ukiangalia mtajwa anavofanya mikutano yake ni kama kuna uhusiano na maandalizi tena anaombea nchi Sana na uongozi Wake!

TUSUBIRI Tuone
 
Tusubiri huyo FDR wao watamwingizaje!!wengine wameshatabiri hata majina HUMU na ukiangalia mtajwa anavofanya mikutano yake ni kama kuna uhusiano na maandalizi tena anaombea nchi Sana na uongozi Wake!

TUSUBIRI Tuone
 
Tusubiri huyo FDR wao watamwingizaje!!wengine wameshatabiri hata majina HUMU na ukiangalia mtajwa anavofanya mikutano yake ni kama kuna uhusiano na maandalizi tena anaombea nchi Sana na uongozi Wake!

TUSUBIRI Tuone
Kabisa. Ila hawa jamaa unapotarajia hua hawatekelezi na mahali usipotarajia ndio BOOM!
Tuendelee kutembea na muda tutaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…