Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.

Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Kongole kwako umwjibu bila mihemko na huo ndio ukweli.

Tusifananishe visivyofanana
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.

Nalikuwa ktk maono ya usiku kabla ya KUPAMBAZUKA, ni siku moja kabla ya kikao Cha kuwatimua COVID-19.

Nilimwona mkt akitamka maneno Kwa msisitizo kuhusu jambo Fulani, pembeni nalimwona mzee ana asili ya kiarabu pembeni yake kikaoni, mzee huyu pekee ndo alikuwa akitikisa KICHWA kuashiria kukubaliana na mkt.

Bt KUNDI kubwa la watu kikaoni walionekana kutomwelewa mkt alichokuwa anasisitiza. Baada ya kikao nimemsikia Lema Kwa space akiongelea maneno Yale Yale ambayo wanachama walilalamika juu ya mkt.

Malalamiko niloyasikia ni Kuwa, mkt anajiweka ktk risk kwenda Kwa mahasimu wake akiwa pekeake bila kuchukua tahadhari.

Nabii mmoja alinisimulia alichoona, aliona kundi kubwa la watu wengi sana wamebeba bendera yenye RANGI ya bluu na red wakipiga kelele wakiwakimbiza watu waliokuwa wamekalia viti vyekundu kwenye jumba kubwa.

Nimekuwa nikiomba binafsi Ili tusipate kitabu kile Kwa njia alioiona Nabii yule. AMEN.
 
Mkuu
Asante
Hapo kwenye KIFO umenifumbua macho aiseh!!
Kipindi cha nyuma nilitumia jukwaa hili kuandika udhaifu na changamoto zinazo wapata wananchi eneo nililopo!!Sasa kuna Wana kitengo wlimtuma mwenzao kuja kunichunguza Kuwa mi ni nani aiseh yule jamaa aliniambia aliwahi pata ajali ya gari pale mlima kitonga wakafa wote isipokuwa yeye nilipomuuliza ilikuwaje akaniambia Kuwa WAZEE WALIMSAIDIA YAANI MAJINI!!Anasema alipohojiwa na Wana habari aliwakwepa wazee walimuonya asiseme chochote!!!walipanga kwangu KWA miezi mitatu na tarehe waliokuja kupanga kwangu ndio tarehe ile ile waliondokea!!waliniacha mawazo mengi Sana Halafu walikuwa wananijua sana aiseh!!!
Hadi leo NAJIULIZA walitumwa kufanya nini!!?sijapata majibu!!nahisi kulikuwa na nguvu fulani nilikuwa inawaongoza ya Kijini au kipepo!!
Leo umenikumbusha kitu !!!!
Aisee ,na wewe sasa umeanza kunitisha mkuu.
 
Nenda fanya utafiti. Nimesema wanahakikisha Watawala ni watu ,"WAO" habari ya dini zao ni zuga tu. Ndugu Mimi sijui kubishana, Wala KULALAMIKA, nikiona jambo haliko sawa natafuta SOLUTION Kwa njia ya rohoni kupitia MAOMBI.
Ya rohoni ni ngumu kutafsirika mwilini hujawahi kukuta mtu anasema matatizo haya ni sehemu ya maisha yake?

Hali nyama,samaki, maziwa na vyakula vizuri kisa akila eti anawashwa ana allergy ya hivyo vitu.

Kila akipata hela anapatwa na msiba, magonjwa, mkopo, zinapotea kwa uzembe tu,vitu vinaharibika...halafu yuko poa tu anakwambia ni maisha tu ndio kawaida yangu.

Sasa kumuelewesha kwamba hiki siyo kitu cha kawaida wanakuwa wabishi sana hawezi kukuelewa. Lakini wakati huo huo anayatamani maisha yako ya off stress.
 
Ni story tu ndugu. Hujawah sikia habar za magonjwa ya kurithi, hutizami jinsi umaskini na level ya maisha ya Watanzania inafanana? Mambo hutokea juu huko yalipoanzia.
Kama Lango likiwa bovu na laana, vyote huteremka mpaka chini kwa watu wote. Ila likiwa na baraka ,hivyo hivyo hushuka hadi kwa watu wote.

Jambo lolote linalotokea mwilini halifanyiki pasipo kuanzia rohoni. Rohoni matokea yake ni mwilini.
 
Wakuu
Hizi mishe za majini sio mara ya kwanza kuziona KWA yule jamaa!
Kuna Binamu yangu mmoja Hadi leo alikabidhiwa KWA majini tangu akiwa tumboni KWA shangazi kisa mimba take ilimsumbua Sana shangazi Hadi leo ana Maisha ya ajabu sana!!alioa anaaacha anaoa tena hajali hata kama kazaa Watoto halafu mkali balaa wakati mwingine anasema hao majamaa Huwa yanamjia na kupiga nae stori hiyo ishu sio UONGO!
Tupige story tu!!
Watu wengi huwa hawapendi kuzungumza hizi mada kwasababu kwenye nafsi zao wanakosa amani, wanaogopa, wanatishika...kwasababu nguvu yao ya kiroho iko chini sana au hawana kabisa wanahisi wataumizwa.

Au wanajua nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa roho kulingana na kila mmoja yupo upande gani.
 
Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.

Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Betina akiona hizi likes 100+ anamtafuta Zena 🤣🤣🤣
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Ni maombi yangu mazungumzo yaendelee, tupate Kitabu kipya Kwa AMANI Kwa maslah mapana ya nchi, kufa Kwa chama it's not a big deal Kwa Watanzania. AMEN.
 
0933; Anayekwenda kukabidhiwa kiti ni ASKOFU GWAJIMA. MUNGU ibariki TANZANIA.Amen.
Mkuu
Umri wake pia Sio mbaya
KWA Sasa 52 mwakani 53 jumlisha na 12 atastaafu akiwa na 65 ni decent age!
Nadhani hata mwendazake aliwaonya kina Lukuvi kuwa ajaye LAZIMA awe mdogo ki umri na Sio mkubwa kama WAO!!!!
Tumuombee Mungu amlinde Sasa!!!
 
Katiba mpya kwanza. Tuombee maridhiano.
 
Hao wenye mamlaka ya juu ya kimaamuzi katika nchi (wengine huwaita the state, deep state), nafikiri ni kama wameyajua maisha baada ya maisha haya. Mipango yao mingi haina hata chembe ya ubinadamu licha ya utu. Ila wawapo machoni pa watu ni watu wema sana. Nina amini kwenye "vile uonavyo mambo yalivyo, sivyo yalivyo".
 
Umewaza Nini!!?

Kwamba hao jamaa ni zaidi ya Upeo wa binadamu wa kawaida!!?

Ni milki ya kiroho inayotenda!!?

KIFUPI HAO jamaa kuna sehemu wanachungulia KWANZA na kutupa kutoa hatma!!
 
Hawa jamaa mambo yao kama vile wanacheza game, hawana empathy kabisa. Wapo simple, smart sana wakiwa off camera hatari.
Kuna hadithi nyingi kuhusu hawa watu. Kuna jamaa nimemsahau jina huko U.S alikua anahutubia moja ya mikutano ya kisiasa kipind Bush Jr ndo head of the house, alisema anasikia harufu ya mjusi (reptilia). Nilisoma hii article kitambo. Unajiuliza yeye kaisikiaje harufu ya mjusi wakati walikua wanadamu tu?!
Naamin wana uwezo mkubwa wa akili ila kuna muda wanapata upeo mahal ambapo ni upeo kuliko upeo wa mwanadamu. Kuna mahali wanayapata haya maarifa kupanga mambo yao.
Ukiangalia karibu deep state za mataifa karibu yote utendaji wao unafanana fana endapo wakitaka kumuondoa ambaye ni kikwazo.
 
Tusubiri huyo FDR wao watamwingizaje!!wengine wameshatabiri hata majina HUMU na ukiangalia mtajwa anavofanya mikutano yake ni kama kuna uhusiano na maandalizi tena anaombea nchi Sana na uongozi Wake!

TUSUBIRI Tuone
 
Kabisa. Ila hawa jamaa unapotarajia hua hawatekelezi na mahali usipotarajia ndio BOOM!
Tuendelee kutembea na muda tutaona.
 
Back
Top Bottom