Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

2023 - 2025
(Hapa lazima Rais aliyepo apate matatizo ambayo yatasababisha asiendelee na Urais kama Katiba inavosema Makamu wake ndiye atakaye apishwa kua Rais)

2025 - 2035
 
2023 - 2025
(Hapa lazima Rais aliyepo apate matatizo ambayo yatasababisha asiendelee na Urais kama Katiba inavosema Makamu wake ndiye atakaye apishwa kua Rais)

2025 - 2035
Sio kwamba ile kauli kuhusu samaki!fitina zitaanzia hapo!?
 
Haya yamemshinda "Bi Tozo" na wajuba wanapita nae juu kwa juu.

10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe.

11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.

12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu.

13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.
 
0101 naomba code hii
 
Sawa naona una refer "operation imesitishwa the state wamesema apewe Muda"

LAKINI Baada ya hapo iwe zamu ya kanda ya kati Dodoma,tena nafaa kabisa kumalizia miradi iliyoasisiwa awamu ya tano!!

Na Katiba Mpya nitasimamia mchakato wake,nikiingia tu mzee Warioba,Butiku ndio WASHAURI WAKUU wa mwenendo wa Serikali yangu na kikosi KAZI cha Warioba nitaandaa ILI amalizie KAZI!!
Wakati wa katiba ni Sasa,kanda ya Kati (Dodoma ) nitafanikisha!

Naipenda nchi YANGU TANZANIA

"Zamu ya Kanda ya Kati ni Sasa"Tumeasahaulika Sana"!!

Mimi nitafanikisha!!
 
"Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic"

Nani ana sifa tajwa hapo juu?
 
"Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic"

Nani ana sifa tajwa hapo juu?
Huyo mtu!!
Hasikiki Sana kwenye vyombo vya habari,wala hana juhudi zozote za kuutafuta u FDR!

Atakuwa introvert in nature!ananikumbusha Mwinyi enzi zake za uwaziri wa ulinzi!!

Kijana Inocent Bashungwa,ana fall kwenye category Hiyo!!

Ningesema Mpango But no coz lile Boko la samaki kanda ya ziwa linaharibu KWA sifa tajwa hapo!

Ya Mungu Mengi pia! ngoja Tuone!
 
Kuna wa ajabu sana Dunia hii.
Angekuwa JPM, ningeunga mkono hoja, lakini kwa uji uji huu, hapana.
 
Inasemekana pia atakua muislam
 
Unajifanyaga ndezi...kumbe una akili njema tu?
 
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani

Mwaka 2023 mpaka mwaka 2025
Philipo I. Mpango.

Nimezingatia last digit.
Mnataka wale wasafiri na ugali wa kula siku 4 wakajisaidie pembezoni mwa ikulu?
Hamko siriaz mamen
 
Uzi bora wa mwaka 2022.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…