Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,676
- 4,693
2023 - 2025Hapana Mkuu
2025-2023=2 yrs
2035-2025=10yrs
Then 2yrs+10yrs=12 ya FDR kutawala Tz
Yaani 2035-2023=12yrs
Kama Mpango ni timamu kimwili atapewa!kama sio can't see happening!
Lazima muhusika awe kwenye forties au early fifties not beyond 57!!
Yule kijana mpya wa wizara ya ulinzi,labda jabali kama kukiwa na mnyukano Lazima atokee ziwa nyanza kukamilisha maono ya mtangulizi!
Wakishindwa kabisa wanaweza nitafuta mimi wakijua wa idodomya,Ili na kanda ya Kati itoe kukata kiu ya ukanda uliodumu KWA Muda mrefu na SISI kina matonya,warangi,wanyaturu,wanyiramba nasi tuandike historia coz tumesahaulika Sana tangu heka heka za malechela! Ili kumalizia miradi ya maendeleo ya Dodoma na kuenzi maono ya BABA wa taifa Dodoma Kuwa makao makuu na kuhama rasmi Dar na kubaki makumbusho kama 0101 wanavotaka!!
"Nayaweza yote Katika YEYE anitiaye NGUVU"
Labda wataona Hao jamaa na kutilia maanani komenti hii!!
MAWAZO HURU HAYA!
(Hapa lazima Rais aliyepo apate matatizo ambayo yatasababisha asiendelee na Urais kama Katiba inavosema Makamu wake ndiye atakaye apishwa kua Rais)
2025 - 2035