raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Jamaa kaja na punch lines leoKwani bado hayaja haribika saaanA ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kaja na punch lines leoKwani bado hayaja haribika saaanA ?
Anaviziwa mtu gizanI.Jamaa kaja na punch lines leo
BalaaaAnaviziwa mtu gizanI.
Sijui atapigwa na jiwe au bapa ?
Ngoja nianze harakati za kuwatafuta chawa wa ajaye angalau nami Nile mema ya nchiKule kwa yoga naye katukimbia mpka december
Kwa Tanzania, hilo halipo na halitatokea kamwe!DP inaenda kumuondoa SAMIA
Kunani!!
Mzee ulikurupuka, uwe unatulia kusoma jambo🤣Lkn FDR angalau alikuwa intelligent man, hakubomoa USA bali alijenga USA, FDR alijenga Hoover Dam Bwawa la kuzalisha umeme wa Maji, kwetu Bwawa la Nyerere linapotezewa siajabu hata mwishowe kubomolewa, alijenga US Highway System ambayo alikopi kutoka NAZI Germany na mengine mengi, FDR hakukata umeme USA bali aliboresha, FDR hakuwaambia Viongozi wa USA waibe na kubomoa USA kwa kula kwa urefu wa kamba bali alikemea corruption na kujenga USA.
Hivyo wakati mwingine kuwa muangalifu unapojaribu kulinganisha mambo, kuna vitu havilingani na siyo sawa kuvilinganisha.
Kuna makosa mengi tuu, hata kuanzishwa kwa Interstate highway system siyo yeye rais FDR (32), bali ni rais Dwight Eisenhower (34). Hii ni baada ya kutoka kwenye WWII (alikuwa mwanajeshi) na kuona ufanisi wa kupitisha zana za kivita kwenye barabara za autonbahn za Ujerumani ya Hitler.Mzee ulikurupuka, uwe unatulia kusoma jambo🤣
Mnmnhhhhhh!Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc
Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.
Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.
Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Ishu hasa ni kwamba alitawala miaka 12 au hakutawala?Kuna makosa mengi tuu, hata kuanzishwa kwa Interstate highway system siyo yeye rais FDR (32), bali ni rais Dwight Eisenhower (34). Hii ni baada ya kutoka kwenye WWII (alikuwa mwanajeshi) na kuona ufanisi wa kupitisha zana za kivita kwenye barabara za autonbahn za Ujerumani ya Hitler.
Kwani ndivyo ilivyo sasa au, mbona hata ccm wenyewe wanasema Mama mitano tena hadi 2030Mkuu, kama nimeelewa vizuri hicho kipengere ni kwamba endapo Magufuli angefariki either mwaka hu au mwakani then mama ilikua ruksa kugombea mara 2, yaani 2025 na 2030 lakini kwakua Magufuli alifariki 2021, miaka 4 kabla ya uchaguzi mkuu means mama anakua kashikiria kwa muda wa miaka zaidi ya 3 and hence hiyo clause 4 hapo ulio inukuu inamuondolea sifa ya yeye kugombea mwaka 2030, anatakiwa kumuachia mwingine!
Ee Mungu baba uliyemwonesha mtumishi wako maono mema haya kwa Taifa letu, tunakuomba utusaidie kutuletea huyo FDR wetu, maana kwa hali ilivyo sasa, kila kukicha ni afadhali ya jana!Wakuu
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.
Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc
Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.
Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.
Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Wakuu

Kweli naona safu za kijasusi zimeanza rasmi kupangwa makonda kuwa mwenezi sio kwa bahati mbaya!now we can start guessing the top!!