Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Huu utabiri ukitimia nipigwe ban Jf.
Operation kusitishwa ilikua march 28,2021!huu Uzi ni WA January 2022!halafu juzi mwezi wa Saba akaja na ule usaliti wa jemedari wa marekani!akaandika JL1 is done 2 and 3 are next!!

Yoga anajaribu kuandika desember mwaka huu!

Ngoja tuone!

To me makonda is a game changer!
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
December
 
Uliusoma uzi wa mwisho waTumia akili kabla haujanyofolewa hapa?
Hapana sikuupata,
Nilisikia sikia comment za watu za kuunga unga wakiungusia.
Mission Desert naona ziiiii, bado miezi 2 mwaka tarajiwa uishe.
Halafu kingine BT naye ni mzee wa Dipu siteti na yeye ndiye mshika rimoti kwa sasa huku, so mipango ya Dipu siteti anajua na kutonya huku kwa mkojani fc.
Kwa mbali naona mission za BT kwa PK
 
1698462878306.png
 
BT mshika rimoti? Soma alama kwa utulivu mkuu. Huyo mzee anasingiziwa tu. Ngoma ngumu kila upande!, watu wapo busy mezani huku wakiangalia kwa kengeza na wengine kwa mawani. Rimoti haina mwenyewe!
 
Back
Top Bottom