Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Mzee ulikurupuka, uwe unatulia kusoma jambo🤣
 
Mzee ulikurupuka, uwe unatulia kusoma jambo🤣
Kuna makosa mengi tuu, hata kuanzishwa kwa Interstate highway system siyo yeye rais FDR (32), bali ni rais Dwight Eisenhower (34). Hii ni baada ya kutoka kwenye WWII (alikuwa mwanajeshi) na kuona ufanisi wa kupitisha zana za kivita kwenye barabara za autonbahn za Ujerumani ya Hitler.
 
Mnmnhhhhhh!
 
Ishu hasa ni kwamba alitawala miaka 12 au hakutawala?
 
Kwani ndivyo ilivyo sasa au, mbona hata ccm wenyewe wanasema Mama mitano tena hadi 2030
 
Ee Mungu baba uliyemwonesha mtumishi wako maono mema haya kwa Taifa letu, tunakuomba utusaidie kutuletea huyo FDR wetu, maana kwa hali ilivyo sasa, kila kukicha ni afadhali ya jana!
Zaidi ya yote, tunaomba mapenzi yako yatimizwe,
Amin.
 
Kweli naona safu za kijasusi zimeanza rasmi kupangwa makonda kuwa mwenezi sio kwa bahati mbaya!now we can start guessing the top!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…