Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

BT mshika rimoti? Soma alama kwa utulivu mkuu. Huyo mzee anasingiziwa tu. Ngoma ngumu kila upande!, watu wapo busy mezani huku wakiangalia kwa kengeza na wengine kwa mawani. Rimoti haina mwenyewe!
Mmmmh rimoti haina mwenyewe?
 

Attachments

  • 1670233965054.mp4
    1.7 MB
Bado tuna siku 27 zimebaki Mkuu.
Wanasema lolote linaweza tokea wakati wowote kwenye siasa.
Team ya Mkojani Fc ni wachawi na wapenda waganga hatari,

Ds kawapiga na kuwashinda kwenye ulimwengu wa roho
Huyu ataenda hadi 2025 kisha atagombea kwenye uchaguzi, kwenye kutangazwa mshindi wa kiti huenda meza ikapinduliwa kibambe na Ds.
 
Si huyo namba mbili!!?tetesi za yule jamaa!!

Mkuu Cha ajabu

Jana jamaa kasema eti katelephone ndio namba mbili halafu doto ndio pm!kwahio kumbe FDR ni katelephone!!?Sasa mbona TEC itakubali!!?

We huoni kutakua na mzozo!?



Nani huyo!
 
Si huyo namba mbili!!?tetesi za yule jamaa!!

Mkuu Cha ajabu

Jana jamaa kasema eti katelephone ndio namba mbili halafu doto ndio pm!kwahio kumbe FDR ni katelephone!!?Sasa mbona TEC itakubali!!?

We huoni kutakua na mzozo!?
Kuna tetesi ......ndiye namba 2.
 
Kama mama anavyoinenga nchi kwa kasi sana licha ya miluzi ya kumrudisha nyuma. Lakini nashukiru kwamba hasikii kelele za wapumbavu kama.wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…