9 Ina 333. wa USA alianza 1933.Numbers hazidanganyi. Mungu ni Mwema.Mkuu
Nashangazwa na majibu yako tena Sana ina Maana Huyu ndio FDR ambayo the state imemuandaa!!?yaani atawale miaka 12!!?hapo 09/3/2023!
NASUBIRI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
9 Ina 333. wa USA alianza 1933.Numbers hazidanganyi. Mungu ni Mwema.Mkuu
Nashangazwa na majibu yako tena Sana ina Maana Huyu ndio FDR ambayo the state imemuandaa!!?yaani atawale miaka 12!!?hapo 09/3/2023!
NASUBIRI
0933 bonge la code!Nasubiri9 Ina 333. wa USA alianza 1933.Numbers hazidanganyi. Mungu ni Mwema.
Pigo za Magamba matatu hizi!ila wewe ume advance ZAIDI tena sana!!!0933; Anayekwenda kukabidhiwa kiti ni ASKOFU GWAJIMA. MUNGU ibariki TANZANIA.Amen.
Dini kuu kubwa duniani KATOLIKI na ISLAM wameungana na wameshasaini mkataba wa kuanzisha DINI moja ya kumwabudu SHETANI kupitia mwana wa Ibilisi aitwaye MASSIH JADDAL au Mpinga Kristo. Pale UN, Atatawala akitokea Roma.Mkuu napenda sana unavyotiririka ebu tumegee kidogo hizo seal za NWO
Mkuu ASANTEDini kuu kubwa duniani KATOLIKI na ISLAM wameungana na wameshasaini mkataba wa kuanzisha DINI moja ya kumwabudu SHETANI kupitia mwana wa Ibilisi aitwaye MASSIH JADDAL au Mpinga Kristo. Pale UN, Atatawala akitokea Roma.
Ktk ufunuo Anatajwa JOKA atakaetaka kummeza MWANAMKE aliejifungua mtoto. Tafsiri ya MWANAMKE ni KANISA. Inasema MWANAMKE atapewa mbawa kuruka na kukimbilia NYIKANI.
NYIKANI alipokimbilia Mariam ni MISRI wakati Ule bt Kwa wakat huu NYIKANI ni pale kwenye chanzo Cha moto Nile unaoipa maji MISRI. Yaani Nchi yenye ziwa nyanza. NYIKANI ni Mahali au Nchi TANGA NYIKA. Neno NYIKA hata wajerumani na waingereza hawakuweza kulifuta au kulibadili sababu ya unabii.
BANDARI SALAMA ni Dar es Salaam, ni Mahalia SALAMA au KIMBILIO. Linaendana na NYIKANI kumaanisha Mahalia SALAMA. Ktk ufunuo ktk biblia.
Watu watakaopinga Utawala au ibada Kwa Mpinga KRISTO itabidi wakimbie, hivyo wote duniani watakambilia Mahali SALAMA ambapo ni Tanganyika.
Freemasonry ambao ni system ya chini Kwa chini chini ya Papa yenye kuengineer utawala wa shetani duniani walikuja KUNUNUA ardhi KIGAMBONI yote wanajua Siri ya Tanganyika. Mpango wao ulivurugwa na Magu, sasa anatawala mtu wao bt ajaye hapa tz hataruhusu jambo Hilo Kutokea.
Wote waaminio kuwa YESU ni KRISTO Dunia nzima watakuja hapa NYIKANI. Watajikusanya watu wa Kila Taifa na kabila, wa shetani watapenda Kwa mfalme wao.
Unaweza kuona umuhimu wa Nchi hii Kwa watu wa MUNGU. TANZANIA lazima aandaliwe kiongozi atakaefuata utawala wa Mungu.
Watakapokusanyika wale wa shetani Ili kuja kuwaangamiza waliojikusanya na kujifichia NYIKANI hapa tz, YESU mwenyewe atashuka na kuwapambania watu wake na atawapiga na kuwateketeza wote Kwa moto.
Kumbuka Dunia nzima itagawanywa ktk makundi mawili pekee, Usiyemwamini YESU hd sasa utakuwa upande Ule wa mpinga Kristo.
Baada ya kushinda vita, YESU na watu wake watakwenda JERUSALEM kutawala Kwa muda wa miaka 1000 hapa hapa duniani. Wakati huo shetani atakuwa amefungwa. Hapatakuwa na UOVU Wala dhambi Wala machozi atawalapo Yesu Kwa muda wote huo. Hapatakuwa na njaa Wala dhiki wakati huo sababu Shetani Alie baba wa UOVU wote atakuwa amefungwa.
Baada ya miaka 1000 Kwisha, shetani na mapepo watafunguliwa tena, watajikusanya wapambane tena ndipo watakaposhikwa na Kutupwa ktk Moto katk ziwa la Moto JEHANUM. Shetani atatupwa pamoja na wote wasiomwamini au waliomkataa Yesu kama mwokozi wao. Uliyezaliwa TANZANIA upo Nchi nzuri. Watawala waovu wa KIPEPO unaowaona wakitesa watu wa Mungu hutawaona TENA.
Asomaye na afahamu AMEN.
Mkuu0933; Anayekwenda kukabidhiwa kiti ni ASKOFU GWAJIMA. MUNGU ibariki TANZANIA.Amen.
Mkuu ASANTE
Sasa na aje mjoli wa Bwana aitwae Rashid wa kawe utotoni apewe kiti kwa ajili ya BWANA wa majeshi!!
Ndipo Sasa unabii utatimia. Nchini!!
TUSUBIRI
Mkuu
Jina hilo mmeliona kwenye maono!!?
Huoni watajaribu kubatilisha maono hayo wale wenye nia ovu
Hawatoweza, Ulimwengu wa Giza na mamlaka zake wanamjua wamemshindwa. Walijaribu Awamu 4,5,na hii ya mpito hawakuweza. Muda umefika Si rahc kumficha tena. Huyu ni game changer.Mkuu
Jina hilo mmeliona kwenye maono!!?
Huoni watajaribu kubatilisha maono hayo wale wenye nia ovu!!!
Mkuu unaweza kutuambia utawala wa huyu mjoli utakuwaje!!?mkono wa chuma!!?au !?Hawatoweza, Ulimwengu wa Giza na mamlaka zake wanamjua wamemshindwa. Walijaribu Awamu 4,5,na hii ya mpito hawakuweza. Muda umefika Si rahc kumficha tena. Huyu ni game changer.
Kumbuka ktk Bible David alichaguliwa na kupakwa mafuta wakati Sauli akiwa Kwa KITI, mwenye MAMLAKA pekee ndo anaweza fanya jambo Hilo.
Mungu atakuwa pamoja naye. KITABU kipya kitamsaidia pia, hatokesha na files usiku kucha kama yule. TANZANIA will rise again.Mkuu unaweza kutuambia utawala wa huyu mjoli utakuwaje!!?mkono wa chuma!!?au !?
Lini hayo mambo yatatokea?Mungu atakuwa pamoja naye. KITABU kipya kitamsaidia pia, hatokesha na files usiku kucha kama yule. TANZANIA will rise again.
Time Will tell inshallahMungu atakuwa pamoja naye. KITABU kipya kitamsaidia pia, hatokesha na files usiku kucha kama yule. TANZANIA will rise again.
0933; Very soon atakabidhiwa, Kitabu kipya kitapatikana 2026. Mzee Warioba Atakuwepo kuzindua.Lini hayo mambo yatatokea?
MkuuHawatoweza, Ulimwengu wa Giza na mamlaka zake wanamjua wamemshindwa. Walijaribu Awamu 4,5,na hii ya mpito hawakuweza. Muda umefika Si rahc kumficha tena. Huyu ni game changer.
Kumbuka ktk Bible David alichaguliwa na kupakwa mafuta wakati Sauli akiwa Kwa KITI, mwenye MAMLAKA pekee ndo anaweza fanya jambo Hilo.
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]0933; Anayekwenda kukabidhiwa kiti ni ASKOFU GWAJIMA. MUNGU ibariki TANZANIA.Amen.
Mkuu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kweli kabisa ngoja tusubiri.Mkuu
Tusubiri
Mi mwenyewe nashangaa
KWA mara ya kwanza protestant anakabidhiwa mikoba !!!
Lakini Magamba matatu alisema ajaye ni muislamu Sasa sijui labda ndio huyu Rashid!!!?
Hapa kuna kitu sijakielewa vizuri, kama ni yeye huyu unayemtaja mbona mwaka ni wa hivi karibuni na mipango ya hawa kutimia bado iko mbele zaidi?Dini kuu kubwa duniani KATOLIKI na ISLAM wameungana na wameshasaini mkataba wa kuanzisha DINI moja ya kumwabudu SHETANI kupitia mwana wa Ibilisi aitwaye MASSIH JADDAL au Mpinga Kristo. Pale UN, Atatawala akitokea Roma.
Ktk ufunuo Anatajwa JOKA atakaetaka kummeza MWANAMKE aliejifungua mtoto. Tafsiri ya MWANAMKE ni KANISA. Inasema MWANAMKE atapewa mbawa kuruka na kukimbilia NYIKANI.
NYIKANI alipokimbilia Mariam ni MISRI wakati Ule bt Kwa wakat huu NYIKANI ni pale kwenye chanzo Cha mto Nile unaoipa maji MISRI. Yaani Nchi yenye ziwa nyanza. NYIKANI ni Mahali au Nchi TANGA NYIKA. Neno NYIKA hata wajerumani na waingereza hawakuweza kulifuta au kulibadili sababu ya unabii.
BANDARI SALAMA ni Dar es Salaam, ni Mahali SALAMA au KIMBILIO. Linaendana na NYIKANI kumaanisha Mahalia SALAMA. Ktk ufunuo ktk biblia.
Watu watakaopinga Utawala au ibada Kwa Mpinga KRISTO itabidi wakimbie, hivyo wote duniani watakambilia Mahali SALAMA ambapo ni Tanganyika.
Freemasonry ambao ni system ya chini Kwa chini chini ya Papa yenye kuengineer utawala wa shetani duniani walikuja KUNUNUA ardhi KIGAMBONI yote wanajua Siri ya Tanganyika. Mpango wao ulivurugwa na Magu, sasa anatawala mtu wao bt ajaye hapa tz hataruhusu jambo Hilo Kutokea.
Wote waaminio kuwa YESU ni KRISTO Dunia nzima watakuja hapa NYIKANI. Watajikusanya watu wa Kila Taifa na kabila, wa shetani wataenda Kwa mfalme wao.
Unaweza kuona umuhimu wa Nchi hii Kwa watu wa MUNGU. TANZANIA lazima aandaliwe kiongozi atakaefuata utawala wa Mungu.
Watakapokusanyika wale wa shetani Ili kuja kuwaangamiza waliojikusanya na kujifichia NYIKANI hapa tz, YESU mwenyewe atashuka na kuwapambania watu wake na atawapiga na kuwateketeza wote Kwa moto.
Kumbuka Dunia nzima itagawanywa ktk makundi mawili pekee, Usiyemwamini YESU hd sasa utakuwa upande Ule wa mpinga Kristo.
Baada ya kushinda vita, YESU na watu wake watakwenda JERUSALEM kutawala Kwa muda wa miaka 1000 hapa hapa duniani. Wakati huo shetani atakuwa amefungwa. Hapatakuwa na UOVU Wala dhambi Wala machozi atawalapo Yesu Kwa muda wote huo. Hapatakuwa na njaa Wala dhiki wakati huo sababu Shetani Alie baba wa UOVU wote atakuwa amefungwa.
Baada ya miaka 1000 Kwisha, shetani na mapepo watafunguliwa tena, watajikusanya wapambane tena ndipo watakaposhikwa na Kutupwa ktk Moto katk ziwa la Moto JEHANUM. Shetani atatupwa pamoja na wote wasiomwamini au waliomkataa Yesu kama mwokozi wao. Uliyezaliwa TANZANIA upo Nchi nzuri. Watawala waovu wa KIPEPO unaowaona wakitesa watu wa Mungu hutawaona TENA.
Asomaye na afahamu AMEN.
Lakini kwa kuwa ni mambo katika ulimwengu wa roho ngoja tusubiri uzuri wa ndoto au maono huwa hayana madhara hata yakibaki hivyo hivyo katika mafumbo, haimdhuru mtu, ukiona huelewi unaacha kama ilivyo muda ukifika utaelewa kama ilikuwa ni kweli au ndoto zilimaanisha kitu kingine.Kweli kabisa ngoja tusubiri.
Hawa jamaa hata siwaelewi kwakweli.Kuna majuha humu yanajichatisha