Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Franklin D Roosevelt (FDR) na uongozi wa miaka 12 kujirudia Tanzania

Namsubiria FDR! Lakini ataingia NCHI ishaharibika na kufilisika KWA mikopo tuliyokopa mingi Sana!!
 
Hadi January tutaanza kupata picha HALISI! Wakati mvua za masika za mwanzo zinaanza tutaanza kujua uhalisia wa hii kitu!!
 
Wakuu

Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani. Alichaguliwa katika chaguzi nne kinyume na tradition za nchi kwasababu mbalimbali ikiwemo WWII.

Alisaidia sana kuijenga nchi baada ya great depression na alifanya reforms nyingi kama kuiunda SEC, sheria ya mahusiano kazini, pensheni, usawa katika ajira, ujenzi wa pentagon, federal deposit insurance corporation etc

Alikuwa Rais wa kwanza kutumia redio na kuwa televised in US na muhimu zaidi huyu ndiye Rais aliyeileta Marekani kuwa global super power. Kuna similarities zipo mbele hapa zinaonesha aina hii ya progress huku kwetu. Mtu mnyenyekevu, intelligent, strategic, calm, visionary, truthful and patriotic atafanikisha next stage.

Nikiangalia naona tena miaka 12 ya mtu katika eneo la huku. Last digit ya miaka iliyotajwa inadhihirika kujirudia.

Tuendelee kusubiria maana namba hizo ndio hizohizo zinajionesha.
Watu wengi hàwajaweza fumbua hili gumbo may be 2025.!
 
Wenye akili hawawezi kufikiria kumpigia chapuo January makamba, He is inept leader ever, corrupt and a bandwagon of irresponsibility
 
Wenye akili hawawezi kufikiria kumpigia chapuo January makamba, He is inept leader ever, corrupt and a bandwagon of irresponsibility
Huyo TA inasemekana ni swahiba wa baba yake na huyo tapeli uliyemtaja
 
Mwaka 1933 mpaka mwaka 1945 alipofariki, FDR alikuwa Rais wa Marekani

Mwaka 2023 mpaka mwaka 2025
Philipo I. Mpango.

Nimezingatia last digit.
Hapana Mkuu

2025-2023=2 yrs

2035-2025=10yrs

Then 2yrs+10yrs=12 ya FDR kutawala Tz

Yaani 2035-2023=12yrs

Kama Mpango ni timamu kimwili atapewa!kama sio can't see happening!

Lazima muhusika awe kwenye forties au early fifties not beyond 57!!

Yule kijana mpya wa wizara ya ulinzi,labda jabali kama kukiwa na mnyukano Lazima atokee ziwa nyanza kukamilisha maono ya mtangulizi!

Wakishindwa kabisa wanaweza nitafuta mimi wakijua wa idodomya,Ili na kanda ya Kati itoe kukata kiu ya ukanda uliodumu KWA Muda mrefu na SISI kina matonya,warangi,wanyaturu,wanyiramba nasi tuandike historia coz tumesahaulika Sana tangu heka heka za malechela! Ili kumalizia miradi ya maendeleo ya Dodoma na kuenzi maono ya BABA wa taifa Dodoma Kuwa makao makuu na kuhama rasmi Dar na kubaki makumbusho kama 0101 wanavotaka!!

"Nayaweza yote Katika YEYE anitiaye NGUVU"

Labda wataona Hao jamaa na kutilia maanani komenti hii!!

MAWAZO HURU HAYA!
 
Back
Top Bottom