Donasoani pastory kabengo
Senior Member
- Jul 21, 2018
- 177
- 163
ShwainiHapo kuna watu wawili kwenye nafasi mbili kuna ndugu kiroho na msaidizi wa kiroho.
Ila kwa tamaduni mlizo zoezwa huko makanisani kwa sasa huyo frateli hana nafasi ila utasikia baba, mama wa kiroho kama aliyekusimamia kwenye kipa bora ooh sorry kipaimara au ubatizo.
Shemasi kadharika hiyo mtu mmemfanya ndiye anasimamia wavaa nusu utupu, vibaka, kukusanya mapato ya kanisa nk na ameacha nafasi yake inayotakiwa ya usimamizo kiroho.
Note; hayo ni kwa jinsi nilivyofahamu.
Jifunze kuheshimu dini za wenzako kaka hutapungukiwa kituMiaka nane anajifunza nini zaidi ya ujinga na ushoga?
Neno 'Frateli' linalotokana na neno la Kilatini 'Frater' ambalo maana yake ni 'Brother'. Huyu ni mwanafunzi katika Seminari Kuu anayesomea Upadri. 'Shemasi' ni Frateli aliyekaribia kumaliza masomo yake ya Upadri. Masomo ya Seminari Kuu huchukua si chini ya miaka saba. Wote wanaosoma hapo katika ngazi yo yote ile huitwa 'Frateli'. Wakimaliza mafunzo ya Philosophy na Theology wanapandishwa daraja na kuitwa 'Shemasi', ingawa wanabakia kuwa mafrateli. Katika ngazi hii wanaweza kufanya vitu kadhaa ambavyo frateli wa chini yao haruhusiwi; kwa mfano kubatiza, kukominisha, kusoma Injili wakati wa ibaada, kufungisha ndoa; n.k. Frateli anadumu katika daraja la ushemasi kwa kiasi cha miaka miwili, ikiwa ni pamoja na kupangiwa kuwa katika parokia kwa mwaka mzima. Huo mwaka tuufananishe na mwaka wa 'internship' kwa kazi za kiraia. Baada ya kufuzu majaribio hayo ndipo anapewa Upadri.Wakuu habari za muda!! Naomba kujua Frateli ni nani katika Kanisa Katoliki na Shemasi ni nani na wana ngazi gani za elimu?
Hasira gani bwashee?Punguza hasira za kijinga.
Dini za wenzangu ni upendo.Jifunze kuheshimu dini za wenzako kaka hutapungukiwa kitu
Nadhani utakuwa katekista wewe, maana ulivyoreply utadhani umefukuzwa kwenye kigango.Usishadadie usivovijua