Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Hahah Wachaga kwa sasa wanamiliki viwanda na kuwauzia bidhaa zao wakinga waliopo hapo kariakoo.
Wapi mbona wengi tunawaona wanashikwa makalio na kushikishwa ukuta. Tamaa za kutoka zinawasumbua sana mashemeji wangu siku hizi.
 
Huyu jamaa nimemuona mara kadhaa akitajwa kama mjasiriamali mkubwa wa mavazi. Pia anatajwa kama mdau wa masuala ya burudani hususani mziki wa Bongo Fleva. Nimemuona akiwa katikati ya kundi la wasanii wa mziki na maigizo.

Gazeti la the Citizen limemuandika kama ni mjasiliamali kijana akijikita kwenye biashara ya mavazi.

Kabla sijamwagia sifa kama walivyofanya wengine, Nimejukuta nimetamani kumjua zaidi,kumjua nje ya box. Ametokea wapi.Amepambanaje.
vijana wengi ni "ma -pusher" hayo maduka kisingizio tu, mjini "form six" iga ufe!
 
Huyu jamaa naona kaajiri mpaka
Wapga umbea insta matangazo yake
Wamejaza huko
 
Huyu jamaa nimemuona mara kadhaa akitajwa kama mjasiriamali mkubwa wa mavazi. Pia anatajwa kama mdau wa masuala ya burudani hususani mziki wa Bongo Fleva. Nimemuona akiwa katikati ya kundi la wasanii wa mziki na maigizo.

Gazeti la the Citizen limemuandika kama ni mjasiliamali kijana akijikita kwenye biashara ya mavazi.

Kabla sijamwagia sifa kama walivyofanya wengine, Nimejukuta nimetamani kumjua zaidi,kumjua nje ya box. Ametokea wapi.Amepambanaje.
Hiv Fred vunjabei alishindwa kweli kumshauri billionaire Shilla kwenye ile nembo ya duka lake la nguo pale sinza maana yake imefanana almost wholly ki-design na nembo ya born to shine ya B-dozen.
Na yeye B-dozen yupo kimya tu kama haoni vile.
 
Wabongo hata ukipanga kwenye yatch ambayo si chini ya $100 per night bado watasema "Tajiri gani kapanga kwenye yatch ya mwaka 2005" wakati gharama ya kukodi chombo mwezi mmoja tu ni hela yake ya bando la miaka 10 ya kuandika upuuzi jf humu...
Nimeshasema humu Bongo ndio nchi inayoongoza kwa ;

Wivu, uchawi, roho shingo, roho mbaya, ujuaji n.k
 
Back
Top Bottom