Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Hahah Wachaga kwa sasa wanamiliki viwanda na kuwauzia bidhaa zao wakinga waliopo hapo kariakoo.
Wapi mbona wengi tunawaona wanashikwa makalio na kushikishwa ukuta. Tamaa za kutoka zinawasumbua sana mashemeji wangu siku hizi.
 
vijana wengi ni "ma -pusher" hayo maduka kisingizio tu, mjini "form six" iga ufe!
 
Huyu jamaa naona kaajiri mpaka
Wapga umbea insta matangazo yake
Wamejaza huko
 
Hiv Fred vunjabei alishindwa kweli kumshauri billionaire Shilla kwenye ile nembo ya duka lake la nguo pale sinza maana yake imefanana almost wholly ki-design na nembo ya born to shine ya B-dozen.
Na yeye B-dozen yupo kimya tu kama haoni vile.
 
Wabongo hata ukipanga kwenye yatch ambayo si chini ya $100 per night bado watasema "Tajiri gani kapanga kwenye yatch ya mwaka 2005" wakati gharama ya kukodi chombo mwezi mmoja tu ni hela yake ya bando la miaka 10 ya kuandika upuuzi jf humu...
Nimeshasema humu Bongo ndio nchi inayoongoza kwa ;

Wivu, uchawi, roho shingo, roho mbaya, ujuaji n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…