Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

We matokeo ya shuleni kwake umeyajuaje ? Umesoma Iringa ? Yan umesoma Ruaha ?
 
Na wewe ungepambana tungekua tunakuandika saa hizi ila umekalia umbea. Unataka usikie anauza unga au ana utajiri wa uchawi ndio uridhike na roho yako

Wapi kasema anataka kujua kama anafanya biashara haramu?..Mbona waTz tumekua na roho za ajabu. Mtu anataka kujifunza zaidi nyie mnaita umbea. Je kama anataka kuandika thesis au kitabu. Ifike mahala tubadilike jamani.
 
hadi mwanamke aliyemuoa nimeishi nae mtaani,kifupi namjua vilivyo,ni hommie huyo,na wengine kibao wanaomzunguka hapo,so usiulize kuhusu matokeo yake,we know each other In and out..we grew together!

We umekaa mshindo kwani ?? haina noma kama unamjua mtoto wa mzee mrema na kama unamjua basi umekaa mkimbizi aisee, unasema kina ray na blinger sio ? haina noma mkuu haina noma mkuu
 
Mkinga,anatokea Iringa!
Nimesoma nae mzumbe dar, lakini pia nimesoma na kaka yake primary school!

Kuhusu business,hiyo ipo kwenye damu,tokea enzi hizo nakumbuka baba yao alikuwa vizuri!
 
Labda Vijana wao , hawa watabadilisha kitu....
Ila wakinga wanafurahisha sana.

Mfano duka la mkinga la mtaani
Kwa ajili ya mahitaji ya Nyumbani....
Ila utakuta lina nguo, viatu, dagaa, spare za baiskeli,....
Kiufupi ni vurugu tupu.
[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…