Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

huyo jamaa kwanza shuleni hesabu alikuwa anapiga AA++,pili mzee wake alikuwa na bado ana mashamba mengi sana ya miti huko mufindi,kwao wana asili ya pesa,mtaongea yoote ila kijana ni mpambanaji and akili kubwa sababu familia yake ina access ya pesa since forever,so mtasema yooote ila huyo kijana atakuwa tajiri maradufu,hakuna uchawi wala ndumba,pamoja na kuwa ni kweli mkinga,lakini ametumia fursa za nyumbani kufika hapo alipofika...kudos fred!
We matokeo ya shuleni kwake umeyajuaje ? Umesoma Iringa ? Yan umesoma Ruaha ?
 
Na wewe ungepambana tungekua tunakuandika saa hizi ila umekalia umbea. Unataka usikie anauza unga au ana utajiri wa uchawi ndio uridhike na roho yako

Wapi kasema anataka kujua kama anafanya biashara haramu?..Mbona waTz tumekua na roho za ajabu. Mtu anataka kujifunza zaidi nyie mnaita umbea. Je kama anataka kuandika thesis au kitabu. Ifike mahala tubadilike jamani.
 
hadi mwanamke aliyemuoa nimeishi nae mtaani,kifupi namjua vilivyo,ni hommie huyo,na wengine kibao wanaomzunguka hapo,so usiulize kuhusu matokeo yake,we know each other In and out..we grew together!

We umekaa mshindo kwani ?? haina noma kama unamjua mtoto wa mzee mrema na kama unamjua basi umekaa mkimbizi aisee, unasema kina ray na blinger sio ? haina noma mkuu haina noma mkuu
 

Huyu jamaa nimemuona mara kadhaa akitajwa kama mjasiriamali mkubwa wa mavazi. Pia anatajwa kama mdau wa masuala ya burudani hususani mziki wa Bongo Fleva. Nimemuona akiwa katikati ya kundi la wasanii wa mziki na maigizo.

Gazeti la the Citizen limemuandika kama ni mjasiliamali kijana akijikita kwenye biashara ya mavazi.

Kabla sijamwagia sifa kama walivyofanya wengine, Nimejukuta nimetamani kumjua zaidi,kumjua nje ya box. Ametokea wapi.Amepambanaje.
Mkinga,anatokea Iringa!
Nimesoma nae mzumbe dar, lakini pia nimesoma na kaka yake primary school!

Kuhusu business,hiyo ipo kwenye damu,tokea enzi hizo nakumbuka baba yao alikuwa vizuri!
 
Labda Vijana wao , hawa watabadilisha kitu....
Ila wakinga wanafurahisha sana.

Mfano duka la mkinga la mtaani
Kwa ajili ya mahitaji ya Nyumbani....
Ila utakuta lina nguo, viatu, dagaa, spare za baiskeli,....
Kiufupi ni vurugu tupu.
[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom