Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti umekuja na 'ushahidi' mwenyewe!


Mengine yakupitege tu
Mbona umejingizia wew hujaacha yakupite [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamuelewesha wa nini mbulula anayedhani anajua kila kitu?
 
Utajiri wa wa hilo kabila huwa siukubali kabisa maana ni kawaida kumuona wa mafanikio kabisa wa hilo kabila ila anakula Kande.
Kande ni mchanganyiko wa maharage na mahindi mabichi sababu hayajakobolewa kuufanya mwili kupata virutubisho vingi
Mahindi mabichi yana protini nyingi ambayo inasaidia kuongeza akili na kumbukumbu kwenye ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…