Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Ni nini? Humjui huyu?[emoji1745][emoji1745]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nini? Humjui huyu?[emoji1745][emoji1745]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaitwa Fadhil ngajiro ...not Fred ..Fred ni jina la usani ao lakujipa tu tu tu tuView attachment 1623660
Utakuwa mpare weweKande sio chakula? Kwa hiyo ili mtu umkubali kama tajiri anatakiwa ale nini?
Wabongo wambea wambea tu hadi wanapiga picha kwa uwoga uwoga bila sababu
[emoji16][emoji16][emoji16] msamehe bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti umekuja na 'ushahidi' mwenyewe!
Mengine yakupitege tu
Namjua, ila huu uliletwa kishambenga[emoji1787][emoji1787][emoji16]Ni nini? Humjui huyu?
Mbona umejingizia wew hujaacha yakupite [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti umekuja na 'ushahidi' mwenyewe!
Mengine yakupitege tu
Mkuu samahani wew ni James delicious ??[emoji16][emoji16][emoji16] msamehe bure
hapana...huyo yumo humu anajiita cocastic na rafiki yake juma lokole anajiita Culture MeMkuu samahani wew ni James delicious ??
Hapana...nafanana nae?Mkuu samahani wew ni James delicious ??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Aaaaah!!! Poa.Namjua, ila huu uliletwa kishambenga[emoji1787][emoji1787][emoji16]
Jamaa anahustle sana
Unamuelewesha wa nini mbulula anayedhani anajua kila kitu?Wahehe na Wabena wote wanasalimiana Kamwene. Tofauti ni matamshi, lafudhi ya Kihehe na Kibena ni tofauti ila wanaweza kusikilizana lugha yao.
Wakinga wao wanasalimiana Mapembelo na lugha yao inautofauti mkubw na Kihehe na Kibena
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Mshindo ndo town yani Iringa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kande ni mchanganyiko wa maharage na mahindi mabichi sababu hayajakobolewa kuufanya mwili kupata virutubisho vingiUtajiri wa wa hilo kabila huwa siukubali kabisa maana ni kawaida kumuona wa mafanikio kabisa wa hilo kabila ila anakula Kande.
Hakuna mkinga mwenye jina la ngajiroMkinga kuwa tajiri Kwao ni jambo la kawaida, hata usiumize kichwa.
Tuambie wewe ni kabila gani?Hakuna mkinga mwenye jina la ngajiro
MchagaTuambie wewe ni kabila gani?
Sawa mkuuMchaga