Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Anaitwa Fadhil ngajiro ...not Fred ..Fred ni jina la usani ao lakujipa tu tu tu tu
360018864.jpg
 
Wahehe na Wabena wote wanasalimiana Kamwene. Tofauti ni matamshi, lafudhi ya Kihehe na Kibena ni tofauti ila wanaweza kusikilizana lugha yao.
Wakinga wao wanasalimiana Mapembelo na lugha yao inautofauti mkubw na Kihehe na Kibena

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Unamuelewesha wa nini mbulula anayedhani anajua kila kitu?
 
Utajiri wa wa hilo kabila huwa siukubali kabisa maana ni kawaida kumuona wa mafanikio kabisa wa hilo kabila ila anakula Kande.
Kande ni mchanganyiko wa maharage na mahindi mabichi sababu hayajakobolewa kuufanya mwili kupata virutubisho vingi
Mahindi mabichi yana protini nyingi ambayo inasaidia kuongeza akili na kumbukumbu kwenye ubongo
 
Back
Top Bottom