Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Humu kumejaa watoto wapumbavu tu, useless.

Huwezi kumkuta mtu mwenye akili zake timamu anakomalia huu upuuzi wa kikabila.

Vunjabei ni mkinga ila marafiki zake wakubwa ni wachagga kina Frank Knows, Whozu etc ndio wanaofanya nao biashara.

Kwahiyo hivi vichuki vya kikabila huwa ni vya masikini, hohehae useless tu wasiojua hata kesho kutapambazuka viipi.
Siku zote nilijua Fred Ni mchaga,na Ni kaka yake whozu...
 
Machawa katika ubora wenu. Naona mnaeneza injili ya break price.[emoji1787][emoji1787]
 
Siku zote nilijua Fred Ni mchaga,na Ni kaka yake whozu...
kaka Yake Whozu ni Frank ,mwenye maduka ya Frank know ambaye ni mshirika wa Fred kibiashara .Frank ndio mchagga
Yaani humu kuna watu wazima wazimaAkili za kitoto.

Jitu badala ya kutafuta namna ya kujikwamua lenyewe liko busy kuchekelea, ooh wachagga ni matajiri!!

Sasa wewe mbona siyo tajiri.
Matajiri wako wachache sana duniani ,wengine mnaishi tu .Soma Forbes list 2020 ukazane.Mimi nitakufuata
 
fred vunja bei mshamba, ushamba ndio unaomsumbua hana utajiri wowote wa maana hela yote inaishia kwenye kujitangaza ili awe star. hana hela hizo mnazofikiria
 
fred vunja bei mshamba, ushamba ndio unaomsumbua hana utajiri wowote wa maana hela yote inaishia kwenye kujitangaza ili awe star. hana hela hizo mnazofikiria
Fred kaanza kujulikana Uso wake hivi karibuni IG account yake ilikuwa na picha kibao sura yake haionekani kujionesha anakofanya sasahivi ni Business Strategies baada ya kuweka nguvu Too Much Money Music...Tangu aanze kujionesha kaongeza Branch zingine zinafika 3 na Office ya TMM inakuwa ya 4 pia amefanya madili na Diamond nk.

Unachosema ni sawa na kusema Pepsi inapoteza pesa nyingi kujionesha kwenye mabango balabalani na kwenye TV.
 
mshamba huyo hana hela za hivyo anavyowaaminisha...anapenda umaarufu tu. wewe unamjua CEO wa pepsi?
 
Hana miaka 33.
Akitoka fred kuzaliwa ana mdog aje anaitwa Franco (huyu aliaacha miaka 2 nikiwa nyuma yake darasa 1 pale ilala primry school iringa.

Akitoka Franco anakuja ana fuata Felix na huyu ndio nina lingana nae umri tukiw darasa moja .Kwasasa umri wangu ni 33 sasa fred anaanzaje kuwa na miaka 33 ???.
Huyu hapungui 35.
Watanzania huwa tunajipunguzia umri sijui Ili iweje?
 
Hana miaka 33.
Akitoka fred kuzaliwa ana mdog aje anaitwa Franco (huyu aliaacha miaka 2 nikiwa nyuma yake darasa 1 pale ilala primry school iringa.

Akitoka Franco anakuja ana fuata Felix na huyu ndio nina lingana nae umri tukiw darasa moja .Kwasasa umri wangu ni 33 sasa fred anaanzaje kuwa na miaka 33 ???.
Huyu hapungui 35.
Jamaa amemaliza First Degree 2010, ina maana alikuwa na miaka 23?
 
Fred kasema/kamuaminisha nani kuwa ana pesa

Simjui, je wewe unamjua Elon Musk maarufu, anajionesha, hakauki mtandaoni na ndio tajiri mkubwa kuliko huyo takataka wa Pepsi.
huyo mshamba analipa watu wamuimbe yeye ni tajiri anaangaika na mademu wanuka kwapa wa bongo movie ili azungumziwe...sio wa kwanza huyo tumeona wengi haswa hao wauza nguo leo hii imebaki hadithi wapiii kina makoba

usifananishe kabisa muuza nguo lonya na watu wanaoeleweka
 
Utajiri wa wa hilo kabila huwa siukubali kabisa maana ni kawaida kumuona wa mafanikio kabisa wa hilo kabila ila anakula Kande.
Good money management ndiyo siri ya utajiri. Huwezi kutajirika kwa kutanua. Ukitaka utajiri lazima uangalie matumizi yake. Mwenzake anapata chakula bora kwa gharama ya sh. 2000 (kande, maharage, mboga na ugali), wewe unatanua kwa gharama ya sh. 10,000 (steki, samaki, na wali). Mbana matumizi ana nafasi ya kupanua biashara yake tokana faida, wewe faida yako yote iaishia kwenye matumizi.
 
Back
Top Bottom