Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Hii bei umeiona wapiSema tuwe wakweli. Jeans gani 5k au hata 9k?? Labda mtumba grade III ila zake anadai ni mpya!
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii bei umeiona wapiSema tuwe wakweli. Jeans gani 5k au hata 9k?? Labda mtumba grade III ila zake anadai ni mpya!
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Vunjabei siku zote amekuwa anafanya biashara zake kimya kimya.Kuanza kujihusisha na bongo movie shits ndio ameanza kayaharibu career yake .
Kuna watoto wazuri Sana huku kitaa avute mmoja na kuoa hao takataka wa bongo movie Wana gundu Sana aachane nao
Ni makapi same to sembeHapo kwenye ulaji ndio sababu ya wengi wenye mafanikio kuishia kuugua Kisukari, Presha na FIGO sababu ya kubadili mtindo wa maisha. Kande siyo chakula?
Picha inaonesha 9,000 imekatikia kwenye Bei ni 19,000
Ohooo ila za 5k nishaona somewhere nikipata snap nitakuoneshaPicha inaonesha 9,000 imekatikia kwenye Bei ni 19,000
Hakuna kitu kama hiko bei zake zinakuwa Hash tagged nje na jeans ni Digit 5Ohooo ila za 5k nishaona somewhere nikipata snap nitakuonesha
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Agent, retailer, au Fred mwenyewe?Hakuna kitu kama hiko bei zake zinakuwa Hash tagged nje na jeans ni Digit 5
Inawezekana kama unajua biashara zinavyofanyika.
Shemeji yake Tunda cappuccino [emoji2][emoji2]Kuanza kujihusisha na bongo movie shits ndio ameanza kayaharibu career yake .
Kuna watoto wazuri Sana huku kitaa avute mmoja na kuoa hao takataka wa bongo movie Wana gundu Sana aachane nao
Branding tu mkuu, hamna loloteSema tuwe wakweli. Jeans gani 5k au hata 9k?? Labda mtumba grade III ila zake anadai ni mpya!
Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Kwakwel sijui ila nachofaham hapungui miaka 37
Katika machawa wa Fredi kuna lile bonge mie aisee huwa simuelewagi
Pesa ikiwepo na elimu ikiwepo haziwezi kukatika.
Vunja bei kama vunja.
Kijana tajiriiiiiiiiii.
Ila instagram kuna upumbavu mwingi sana jana hilo bonge na Aristote wanakisifia kitanda cha vunja bei.
Yaani ukiwa chawa lazima ujitoe fahamu.
Nimesoma naye mdete primary school njombe mjini darasa 1,kama umri wetu ulikua sawa basi sasa ana 35Hana miaka 33.
Akitoka fred kuzaliwa ana mdog aje anaitwa Franco (huyu aliaacha miaka 2 nikiwa nyuma yake darasa 1 pale ilala primry school iringa.
Akitoka Franco anakuja ana fuata Felix na huyu ndio nina lingana nae umri tukiw darasa moja .Kwasasa umri wangu ni 33 sasa fred anaanzaje kuwa na miaka 33 ???.
Huyu hapungui 35.
Mhhhhh naona ushachezea rungu la kipepe......???Ila Fred ananuka sana mapumbu mxieew ana mipaja minene utafikir matairi ya fuso mxieee[emoji23][emoji23]
Maskini warumi..Ila Fred ananuka sana mapumbu mxieew ana mipaja minene utafikir matairi ya fuso mxieee[emoji23][emoji23]
Nakusahihisha.Fredy alikuwa ana mke anaitwa happy n Wana watot ,
Walisoma wote iringa ,ruaha sec,
Now hyo demu anaish SA
Jamaa anawanyoosh tu madem bongo land akiwa na Kaka wozuh Frank
Sema jamaa kwao pesa ipo
Mzee ngajiro ana mtony iringa town