Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Kuanza kujihusisha na bongo movie shits ndio ameanza kayaharibu career yake .

Kuna watoto wazuri Sana huku kitaa avute mmoja na kuoa hao takataka wa bongo movie Wana gundu Sana aachane nao
Vunjabei siku zote amekuwa anafanya biashara zake kimya kimya.

Sasa hivi ameamua kujiweka kwenye spotlight baada ya kuanzisha Label ya Muziki, "Too Much Money" yenye wasanii kama Wozhu, Baddest47 n.k.

Ingawa kila mtu ana mtazamo wake, ila mambo mengine ni stori tu.
 
Hii bei umeiona wapi
[emoji1484]
JamiiForums434355594.jpg


Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1484] View attachment 1726150

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Inawezekana kama unajua biashara zinavyofanyika.

Wale watu wana mtaji mkubwa, Kwahiyo huko China wanaweza kuagiza hata container tatu na kuzisafirisha kwa maji.

Hivyo usitegemee mtu kama huyo utashindana naye kwenye bei, wakati wewe unanunua Kariakoo au China kimzigo kidogo tu!
 
Ila Fred ananuka sana mapumbu mxieew ana mipaja minene utafikir matairi ya fuso mxieee[emoji23][emoji23]
 
Pesa ikiwepo na elimu ikiwepo haziwezi kukatika.

Vunja bei kama vunja.
Kijana tajiriiiiiiiiii.

Ila instagram kuna upumbavu mwingi sana jana hilo bonge na Aristote wanakisifia kitanda cha vunja bei.

Yaani ukiwa chawa lazima ujitoe fahamu.

Dunia inaenda kwa kasi , na vunja ndo mambo anayoyapenda hayo
 
Hana miaka 33.
Akitoka fred kuzaliwa ana mdog aje anaitwa Franco (huyu aliaacha miaka 2 nikiwa nyuma yake darasa 1 pale ilala primry school iringa.

Akitoka Franco anakuja ana fuata Felix na huyu ndio nina lingana nae umri tukiw darasa moja .Kwasasa umri wangu ni 33 sasa fred anaanzaje kuwa na miaka 33 ???.
Huyu hapungui 35.
Nimesoma naye mdete primary school njombe mjini darasa 1,kama umri wetu ulikua sawa basi sasa ana 35
 
Fredy alikuwa ana mke anaitwa happy n Wana watot ,
Walisoma wote iringa ,ruaha sec,
Now hyo demu anaish SA
Jamaa anawanyoosh tu madem bongo land akiwa na Kaka wozuh Frank

Sema jamaa kwao pesa ipo
Mzee ngajiro ana mtony iringa town
 
Fredy alikuwa ana mke anaitwa happy n Wana watot ,
Walisoma wote iringa ,ruaha sec,
Now hyo demu anaish SA
Jamaa anawanyoosh tu madem bongo land akiwa na Kaka wozuh Frank

Sema jamaa kwao pesa ipo
Mzee ngajiro ana mtony iringa town
Nakusahihisha.
Happy hajamuoa ni mahusiano sugu ya muda mrefu na wamezaa mtoto.

Na kazaa na wengi tu si Happy pekee.
 
Back
Top Bottom