Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Ila Fred ananuka sana mapumbu mxieew ana mipaja minene utafikir matairi ya fuso mxieee[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daaaa hivi mtu ameenda shule na pesa ipo ananukaje?

Sema ananukia bwana acha kumshusha tajiri kijana bwana.

Halafu hata kwa mwonekano Fred ako poa sana mapaja makubwa wewe unataka kuyafanyia kazi gani binamu?
 
Pesa ikiwepo na elimu ikiwepo haziwezi kukatika.

Vunja bei kama vunja.
Kijana tajiriiiiiiiiii.

Ila instagram kuna upumbavu mwingi sana jana hilo bonge na Aristote wanakisifia kitanda cha vunja bei.

Yaani ukiwa chawa lazima ujitoe fahamu.
Kama baba levo😁😁😂😂🤣🤣

Uchawa kipaji aisee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Chawa wa kike daaa.
Itabidi Fred anilipe.
Lakini si ni kweli ameenda shule na pesa ipo au ninadanganya ndugu yangu?
Mi simjui jamaa ..ila we sio chawa,ulitakiwa uwe umemgandia fred kila atakapokuwepo yeye na wewe upo🤣..hukosi yan
 
Mi simjui jamaa ..ila we sio chawa,ulitakiwa uwe umemgandia fred kila atakapokuwepo yeye na wewe upo[emoji1787]..hukosi yan
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa nini usiseme yeye anigande mimi?
 
Pesa ikiwepo na elimu ikiwepo haziwezi kukatika.

Vunja bei kama vunja.
Kijana tajiriiiiiiiiii.

Ila instagram kuna upumbavu mwingi sana jana hilo bonge na Aristote wanakisifia kitanda cha vunja bei.

Yaani ukiwa chawa lazima ujitoe fahamu.
Wanaingia hadi chumbani anakolala mwanaume mwenzao?
 
Good money management ndiyo siri ya utajiri. Huwezi kutajirika kwa kutanua. Ukitaka utajiri lazima uangalie matumizi yake. Mwenzake anapata chakula bora kwa gharama ya sh. 2000 (kande, maharage, mboga na ugali), wewe unatanua kwa gharama ya sh. 10,000 (steki, samaki, na wali). Mbana matumizi ana nafasi ya kupanua biashara yake tokana faida, wewe faida yako yote iaishia kwenye matumizi.
Hakuna chakula bora cha 2000, pale unakula ili usife
 
yaani utajiri kwa kujibana mpaka kula, na chakula bora ni kande,maharage na mboga za majani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah.

Hakuna tajiri anayejua makande.
Tajiri anayekula makande ni maskini aliyechangamka tu.
Tajiri anayejielewa anajali mwili wake na afya yake kwa kula balanced diet
 
Makande ni bora kuliko sembe. Labda hujui tu kuyapika.

Mimi hakuna chakula ninachokipenda kama Ugali, dagaa, samaki, kande, maziwa, viazi.

Na mimi ni mgumu mnoo kujaribu vyakula vipya.

Nikivyokuja Dar, nilifosi kujaribu Uduvi, na sausages zikanishinda.

Balanced diet kwetu waswahili siyo laxima uipate kupitia the same meal.

Asubuhi tutakula maziwa viazi, mchana ugali nyama au samaki, usiku, wali maharage.

Matunda tunakula mitaani huko tukiwa kwenye mishemishe.
Hapo hakuna balanced diet sana sana unaongeza protein na carboh
 
huyo mshamba analipa watu wamuimbe yeye ni tajiri anaangaika na mademu wanuka kwapa wa bongo movie ili azungumziwe...sio wa kwanza huyo tumeona wengi haswa hao wauza nguo leo hii imebaki hadithi wapiii kina makoba

usifananishe kabisa muuza nguo lonya na watu wanaoeleweka

Makoba hajafilisika , mie ni mteja wake pale
 
Back
Top Bottom