Fred Ngajiro aka Fred Vunjabei ni nani huyu jamaa?!

Hana miaka 33.
Akitoka fred kuzaliwa ana mdog aje anaitwa Franco (huyu aliaacha miaka 2 nikiwa nyuma yake darasa 1 pale ilala primry school iringa.

Akitoka Franco anakuja ana fuata Felix na huyu ndio nina lingana nae umri tukiw darasa moja .Kwasasa umri wangu ni 33 sasa fred anaanzaje kuwa na miaka 33 ???.
Huyu hapungui 35.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Imagine tajiri anajibana mpaka kwenye mlo eti makande.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makande huo mlo mbovu Sana ,mi mtu nikimuona anakula makande naona kama anakula Mabaki ya chakula , msosi wa hovyo Sana huo..... Ni msosi wa kimaskin mana hupikwa mengi ya Kula mchana na usiku na kesho yake wananywea chai😋
........
Ila Fred Vunjabei ana Sura ngumu Sana 😃
 
Imagine tajiri anajibana mpaka kwenye mlo eti makande.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukisema anajibana aVunja bei huyo anayekunywa Ma Hennessy kila siku ??/
 
Unaniuliza swali au unajishangaa?Maana nakumbuka ni wewe uliyekuwa unatetea makande kuliwa na matajiri.

Anyway tusidanganyane lakini mwenye utajiri hawezi kuwaza kula makande bwana eti kwa ajili ya kujibana.
 
Sikushangai maana ndivyo waswahili tulivyo.

Kama hupendii makande ni wewe na hauko peke yako, na hicho chakula unachoona kwako ni bora sana kuna wengine wanaona ni TAKATAKA.

Nenda Upanga ukaone mboga wanazokula wahindi, check wachina vyakula wanavyokula. Hiyo hakumaanishi hawana pesa.

Chakula ni suala la utamaduni. Mfano; Mjaluo huwezi kumtenganisha na Uji hata kama ni tajiri kama Bakhresa.

Vyakula vingine ni vya kiafrika pure. Huvikuti sehemu nyingine, mfano Ugali, lakini nilienda Bukoba nikakuta mpaka wabibi kwenye maisha yao hawajawahi kula Ugali, wao chakula cha heshima ni ndizi.

Wengi wa wahaya shule za boarding ziliwashinda Kwasababu ya Ugali. Baadaye migomba ilipoanza kupata magonjwa na ndizi kuadimika wakaanza kujifunza kula wali. Lakini kuna watu huwaambii kitu kuhusu wali, hadi wengine wako tayari kufanywa chochote ilimradi wapewe wali.

Sasa hivi bongo tuna hulka ya kuona vyakula kama Biryani ( Indian dishes, Sausages, Burger na Pizza ) kama vyakula bora just out of nowhere just Kwasababu ni vyakula vya wazungu.

Binafsi nimewahi kujaribu kula sausage zikanishinda.

Mimi hata chai ya rangi na majani asubuhi hunipi lakini huku Pwani hata mtu awe tajiri vipi ni kawaida kula chai na chapati usiku.

Kwetu Mara, mtu hata awe tajiri vipi lazima ake ugali wa mhogo nixer mtama ( wengine wanaona uchafu )

Kwahiyo usidharau chakula cha mtu yeyote Kwasababu chakula no completely suala la utamaduni, siyo hali ya kiuchumi.
 
Labda Vijana wao , hawa watabadilisha kitu....
Ila wakinga wanafurahisha sana.

Mfano duka la mkinga la mtaani
Kwa ajili ya mahitaji ya Nyumbani....
Ila utakuta lina nguo, viatu, dagaa, spare za baiskeli,....
Kiufupi ni vurugu tupu.
tunafanya hivyo ili mteja akija asiondoke lazima aache pesa
 
Huyu jamaa nimemuona mara kadhaa akitajwa kama mjasiriamali mkubwa wa mavazi. Pia anatajwa kama mdau wa masuala ya burudani hususani mziki wa Bongo Fleva. Nimemuona akiwa katikati ya kundi la wasanii wa mziki na maigizo.

Gazeti la the Citizen limemuandika kama ni mjasiliamali kijana akijikita kwenye biashara ya mavazi.

Kabla sijamwagia sifa kama walivyofanya wengine, Nimejukuta nimetamani kumjua zaidi,kumjua nje ya box. Ametokea wapi.Amepambanaje.
Hawa ndo inspirational speakers tunaowataka
 
Inawezekana kama unajua biashara zinavyofanyika.

Wale watu wana mtaji mkubwa, Kwahiyo huko China wanaweza kuagiza hata container tatu na kuzisafirisha kwa maji.

Hivyo usitegemee mtu kama huyo utashindana naye kwenye bei, wakati wewe unanunua Kariakoo au China kimzigo kidogo tu!
Mtu ananunua jeans pcs 5000 lets say at a very minimum price ya buku 7 kwa kila pcs! Akiuza 19000 akiweka na usafiri ana faida ya 11 thou

We unaeagiza pcs 300 unauziwa jeans moja 16,000 ukiweka na usafiri ni 18,000 huwezi kuuza 19,000 lazma utataka uuze 25 ili upate walau 23000 after bargains!

Gap lipo kwenye economies of scale tu!
 
huyo mshamba analipa watu wamuimbe yeye ni tajiri anaangaika na mademu wanuka kwapa wa bongo movie ili azungumziwe...sio wa kwanza huyo tumeona wengi haswa hao wauza nguo leo hii imebaki hadithi wapiii kina makoba

usifananishe kabisa muuza nguo lonya na watu wanaoeleweka
Acha chuki kijana, jamaa ana mipunga toka kwao na yeye pia amekamatia line so hela inafata mkondo!

Jamaa ana make mkwanja ame strategize vizuri tu pamoja na kwamba ana elimu ya kutosha pia. Wangapi walikuwa na maduka sinza na kino mbona hawakufanya kama yeye? Wafanyabiashara wote waliokuwa wauza unga na wanatakatishia hela madukani kwa kuuza jinzi za 25k kwa 70k wamepoteana. Dogo amejua kuwanyoosha wafanyabiashara waliokuwa wanauza vitu ghali un neccessary!

Nimemfuatilia pia hategemei biashara ya nguo tu! Ana mbao analeta mjini, ana ship minofu ya samaki china na lately ameanza ku import vinywaji pombe na spirits kutoka south Africa! Those are few businesses ukiachilia label ya entertainment ya too much money ambayo itaingiza pesa sababu management skills za dogo ni za uhakika!

Sasa unategemea mtu mwenye akili ya kufanya hayo yote atafilisika kizembe? Juzi katia bond ya billion 2 simba! We endelea kupika majungu tu!
 
jamaa Ni hater huyo
 
IMG_1689.png

Watu wanawivu sisi tunao bonga nae daily tunajua unasema nini wivu kwa mwanaume mwenzio hauifai yan mtu anaomba udondoke sasa ndio nini, mbona jamaa ana roho nzuri tu ? kama mtu mnyama mnyama tu na wewe pambana uwe mnyama, hating doesn't help,
 
Acha chuki kijana, jamaa ana mipunga toka kwao na yeye pia amekamatia line so hela inafata mkondo!

Jamaa ana make mkwanja ame strategize vizuri tu pamoja na kwamba ana elimu ya kutosha pia. Wangapi walikuwa na maduka sinza na kino mbona hawakufanya kama yeye? Wafanyabiashara wote waliokuwa wauza unga na wanatakatishia hela madukani kwa kuuza jinzi za 25k kwa 70k wamepoteana. Dogo amejua kuwanyoosha wafanyabiashara waliokuwa wanauza vitu ghali un neccessary!

Nimemfuatilia pia hategemei biashara ya nguo tu! Ana mbao analeta mjini, ana ship minofu ya samaki china na lately ameanza ku import vinywaji pombe na spirits kutoka south Africa! Those are few businesses ukiachilia label ya entertainment ya too much money ambayo itaingiza pesa sababu management skills za dogo ni za uhakika!

Sasa unategemea mtu mwenye akili ya kufanya hayo yote atafilisika kizembe? Juzi katia bond ya billion 2 simba! We endelea kupika majungu tu!
Mshamba tu huyo hana hela yoyote ya maana nimpikie majungu wakuja huyo...hela yote inaishia kwenye kujitangaza aonekane tajiri mkubwa...yani hivyo viduka vya lonya ndio mnaona jamaa kayatoa? alafu hayo mambo ya simba usizungumze kwa wajanja utachekwa hiyo ni deal ya mwenye simba mwenyewe.

mitandao haisahau tutakuja kuwakumbusha.
 
Sawa tajiri
 
Wewe wa mjini umefanya nini cha kujivunia mzee? What have you done so far cha ku inspire watu
 
Mshamba tu huyo hana hela yoyote ya maana nimpikie majungu wakuja huyo...hela yote inaishia kwenye kujitangaza aonekane tajiri mkubwa...yani hivyo viduka vya lonya ndio mnaona jamaa kayatoa? alafu hayo mambo ya simba usizungumze kwa wajanja utachekwa hiyo ni deal ya mwenye simba mwenyewe.

mitandao haisahau tutakuja kuwakumbusha.

Mkuu mbona your hate is so real ? why ? Mkuu mbona sikuelewi ? yan unasema viduka alafu unasema lonya ? kwanini mkuu mbona unadharau ivyo ? daaah sema nini haina kwere mzee...
 
Wapi kasema anataka kujua kama anafanya biashara haramu?..Mbona waTz tumekua na roho za ajabu. Mtu anataka kujifunza zaidi nyie mnaita umbea. Je kama anataka kuandika thesis au kitabu. Ifike mahala tubadilike jamani.
Akitaka thesis ya kitabu amtafute mwenyewe Vunjabei itakua credible source of information
 
Back
Top Bottom