Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Akili kusoda huwezi elewa kitu.Kwa hiyo sheria ngowi ana kiwanda china?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili kusoda huwezi elewa kitu.Kwa hiyo sheria ngowi ana kiwanda china?
Sio lazima wala haina afya kujadili mda wote hayo unayodhani ni mambo ya msingi, elewa unashauriwa na matabibu kufanya mazoezi ili kujenga afya nzuri ila sio ndio ufanye mda wote, waache watu warefresh mbongo zao baada ya mikikimikiki ya kutafuta ugali wa familia zaoMy future generations are busy discussing nonsense staff rather than discussing the current economic status of their country we have a long way to go
Ukisema unaambiwa nenda jukwaa la siasa.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
swali la msingi hili.Kwa hiyo sheria ngowi ana kiwanda china?
Jezi za utopolo ni kama madekiojezi ya simba haina tofauti na matambara.
Kwa kiasi fulani hivi vitu vinaendana.Kilaza at his best. Designing na qualitty of production mi vitu viwili tofauti.
🤣🤣🤣😂😂Kwa hiyo sheria ngowi ana kiwanda china?
Umesema jambo la msingi sana nimetaka kulisema mda mrefu mno kwenye mijadala hii ya jezi. Ni vizuri umewakumbusha wenzio kuwa pioneer wa kuthaminisha jezi ni nani. Hawa waliokuja baadae au tunaweza kuwaita "wakuja" eti ndiyo wanataka kuifundisha Simba kuhusu masuala ya jezi.Nakumbuka ushindani WA Jersey alieanzisha ni Simba,
Sa nashangaa saiv hawataki midahalo ya jersey.
Mafanikio ya simba kwenye soka la afrika ni yapi?Vaa vizuri ukacheze kombe la mapinduzi wakati wenzako wapo kombe la mabingwa na klabu bingwa Afrika.Endelea tu kupendeza kama bishololo marioo.
Kuvaa jersey imeandikwa visit Tanzania.Mafanikio ya simba kwenye soka la afrika ni yapi?
Mbona mkewangu anavaa imeandikwa hivyo na sijayaona hicho alichofanikiwa?Kuvaa jersey imeandikwa visit Tanzania.
Akitokea wa kukupinga, basi wewe mlete tu kwangu nimcharaze viboko.Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake
Namaanisha nini?
SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.
Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro (Vunjabei), Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi. Fred si mbunifu wa mavazi (Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei).
MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana kwa elfu 18 za kitanzania, ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo.
Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila shaka ashavaa sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI (Hii si kwa sababu za kibiashara Bali Ubora).
Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.
Si sahihi kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA.
Ukiwa naye faragha huwa analia kwa furaha?Mbona mkewangu anavaa imeandikwa hivyo na sijayaona hicho alichofanikiwa?
Umekurupuka read between the linesUmesema jambo la msingi sana nimetaka kulisema mda mrefu mno kwenye mijadala hii ya jezi. Ni vizuri umewakumbusha wenzio kuwa pioneer wa kuthaminisha jezi ni nani. Hawa waliokuja baadae au tunaweza kuwaita "wakuja" eti ndiyo wanataka kuifundisha Simba kuhusu masuala ya jezi.
Simba siku zote anaonyesha njia halafu wengine wanafuata. Aliyekuzidi amekuzidi tu.