Fred Ngajiro vs Sheria Ngowi?

Fred Ngajiro vs Sheria Ngowi?

Soma title ya uzi na post ya kwanza ya mleta mada. Wahusika ni hao hao.
Haya sawa. Kwavile wewe ndiye uliyeleta hoja ya kuzilinganisha tracksuit, haya anza kwa wewe mwenyewe kwa kutoa maoni yako ila kumbuka pia kuweka picha zote katika mfanano wa ubora.
 
Acha kujiaibisha hio ya Simba sio tracksuit!
Kweli najiaibisha

20230209_131046.jpg
 
Haya sawa. Kwavile wewe ndiye uliyeleta hoja ya kuzilinganisha tracksuit, haya anza kwa wewe mwenyewe kwa kutoa maoni yako ila kumbuka pia kuweka picha zote katika mfanano wa ubora.
Kwa hiyo sasa mnasingizia ubora wa picha na mwanga hafifu. Mbona hamkusema hilo kwenye picha mnazotumia za Simba za uzinduzi ambazo CLEARLY mwanga haukuwa mzuri pale ukumbini?
 
Naufunga huu mjadala kwa kusema makampuni kama Adidas na Nike wana timu za team ya designers wanaofanya kazi chini yao. Mara nyingi hao designers hawajulikani maana ni wafanyakazi tu wa kampuni husika. Vunja Bei kwenye mkataba na Simba ni aina hiyo ya makampuni. Kama mnadhani VB mwenyewe ndiyo anakaa anadesign hizo jezi mnahitaji msaada zaidi ya tulivyodhani.

Kumshindanisha VB na Sheria ni kosa la uelewa. Mkifundishwa mkubali kusikiliza mnachoelekezwa.
 
Ndio umeandika nini? Vunja bei ndio aliyesaini mkataba na Simba, sasa unataka akikosea aambiwe nani zaidi yake? Hizo habari za designer anajua yeye kama ni nani designer wake ila kwavile yeye kasainiana mkataba na Simba kuhusu maswala ya kit hivyo ikiletwa kitu kizuri atasifiwa yeye na pia akifanya vibaya atakosolewa yeye.
 
Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake

Namaanisha nini?

SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.

Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro (Vunjabei), Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi. Fred si mbunifu wa mavazi (Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei).

MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana kwa elfu 18 za kitanzania, ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo.

Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila shaka ashavaa sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI (Hii si kwa sababu za kibiashara Bali Ubora).

Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.

Si sahihi kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA.
Vunjabei anaweza kutafuta mbunifu akaingia nae mkataba akampa share yake katika ile faida anayoteneneza kwa mauzo ya jezi tatizo jamaa anataka kila kitu shilingi achukue yeye ndio. Pale yanga mwenye tenda ya kuuza na kusambaza jezi sio Sheria ni GSM kwaiyo GSM ndie anamlipa Sheria katika ile faida ya mauzo ya jezi, analipa wasambaji wa jezi ziweze kuenea nchini ndio maana jezi za yanga zikizinduliwa zinakua na ubunifu alafu kesho yake tu tayari zipo mpaka mikoani sasa vunjabei anashindwa nini kufanya ivyo. Ukipata dili kubali kugawa majukumu kazi itoke yenye ubora sasa mtu muuzaji wewe, msambazaji wewe, mbunifu wewe matokeo yake jezi zinatoka hazina ubunifu alafu zinapatikana pale sinza tu
 
Kwanza wewe si mshabiki wa Simba, mambo yake yanakuhusu nini?

Na kwenye ubunifu huko duniani hakuna kitu kinachoitwa "kukosea" ndiyo maana ukienda dukani unaangalia unachopenda ambacho hakikuvutii unaacha, haukai kusema huyu designer amekosea sana! Hizi kauli zinaonyesha ni ufinyu kiasi gani mnao kwenye masuala ya ubunifu wa mavazi.
 
Mwingine huyu ambaye si mshabiki wa Simba ila anashinda anaizungumzia na kuikosoa.

Kwa nini unataka sana Simba wafanye anavyofanya Yanga? Unataka mpaka usikie Khadija Mwanamboka ndiye anadesign jezi ya Simba ndiyo ufurahi? Mnavamia mambo ambayo hamna uelewa nayo.
 
Ifike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake

Namaanisha nini?

SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.

Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro (Vunjabei), Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi. Fred si mbunifu wa mavazi (Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei).

MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana kwa elfu 18 za kitanzania, ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo.

Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila shaka ashavaa sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI (Hii si kwa sababu za kibiashara Bali Ubora).

Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.

Si sahihi kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA.
Well said
 
Kwanza wewe si mshabiki wa Simba, mambo yake yanakuhusu nini?

Na kwenye ubunifu huko duniani hakuna kitu kinachoitwa "kukosea" ndiyo maana ukienda dukani unaangalia unachopenda ambacho hakikuvutii unaacha, haukai kusema huyu designer amekosea sana! Hizi kauli zinaonyesha ni ufinyu kiasi gani mnao kwenye masuala ya ubunifu wa mavazi.
Wewe unavyotoa comments kwenye maswala ya Yanga huwa yanakuhusu?
 
Mwingine huyu ambaye si mshabiki wa Simba ila anashinda anaizungumzia na kuikosoa.

Kwa nini unataka sana Simba wafanye anavyofanya Yanga? Unataka mpaka usikie Khadija Mwanamboka ndiye anadesign jezi ya Simba ndiyo ufurahi? Mnavamia mambo ambayo hamna uelewa nayo.
Ushabiki usikufanye zombi kijana. Pale ambapo upande wako unakosea kubali na pale ambapo mpinzani wako anafanya vizuri mpongeze. Mbona kutwa simba mnajisifu kuhusu mashindano ya kimataifa na yanga hawajawahi kupinga ilo maana rekodi za miaka ya karibuni zinaongea zenyewe. Kwenye suala la ububifu wa jezi kila kitu kipo wazi tangu GSM achukue iyo tenda yanga amekua akitoa jezi zenye ubora na ubunifu kuliko simba na hata wenzako wanakubali ilo. Ushabiki sio kupinga kila kitu cha mpinzani hata kama ni kizuri au kukubali kila kitu cha upande wako hata kama ni kibaya.
 
Masuala ya uzuri au ubaya wa jezi ni "subjective" ndiyo maana tunaweza kukesha hapa tunabishana na tusikubaliane. Mimi ninachoona Simba na VB wanaenda na classic styles za jezi ambazo huwa ziko simple bila maurembo mengi. Wengine (wakiwemo baadhi ya mashabiki wa Simba) wanapendelea jezi zenye mambo mengi ndiyo maana jezi ya blue inatokea kupendwa na hao watu.

Binafsi kawaida ni mpenzi wa nguo ikiwemo jezi zilizo simple ndiyo maana sioni ubaya wa hizi jezi ndiyo maana nimetoa mifano ya jezi nyingi duniani ambazo ziko kwa style hiyo hiyo ya jezi za Simba. Hizi style mpya za jezi zenye maurembo mengi ni mambo mapya katika ulimwengu wa soka na hazijawahi kuwa standard ya timu nyingi maana huwa wanazivaa mechi moja moja. Sisi huku tunayavamia haya mambo bila tafakuri.

Jezi mpya za Yanga kwa umbali zile za kijani na blue zinapendeza ila ukizikaribia ukaona vizuri maurembo yale yalivyo, sijapendezwa nazo na KWA MTAZAMO WANGU zina kasoro. Nilishasema mfano kwenye zile za kijani, maneno "Yanga" yaliyojaa jezi nzima hayajanivutia kabisa. Zile za blue (ambazo pia zinaonekana nyeusi sijui tatizo nini) nazo zina maandishi jezi nzima ambayo sijajua maana yake. Hizi ndiyo kasoro zake.

Halafu hivi kuna watu wanavaa jezi kwa sababu tu ya kupendeza au kwa kuipenda timu na rangi zake? Maana hauwezi kuniambia mpenzi wa kweli wa Simba akatae kuivaa ile jezi nyeupe kisa eti "mbovu". Hili haliingii akilini.
 
Dada unapenda vibaya wewe,haya basi olewa na Sheria Ngowi tumalize huu ubishi wa kitoto.
Mbona umemjibu kirahisi sana ,, Yani yeye kawaza pakubwa kuliko wewe ulivyo mjibu. Mtu akisoma haraka haraka anaweza akajua wewe ndio wakike na yeye ndio wakiume..
 
Simba afananishwe na Coastal Union FC kwakuwa wanatumia rangi sawa.

Yanga afananishwe na Norwich City FC au Mamelody Sundowns kwakuwa wanatumia rangi sawa.

Halafu tangu lini Yanga akapenda vitu vya Simba and vice versa.
 
Hakuna ukweli hapo. Tunaangazia ubunifu sio rangi
 
Mbona umemjibu kirahisi sana ,, Yani yeye kawaza pakubwa kuliko wewe ulivyo mjibu. Mtu akisoma haraka haraka anaweza akajua wewe ndio wakike na yeye ndio wakiume..
Ajabu Kwa kweli hawa watu
 
Back
Top Bottom