SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Soma title ya uzi na post ya kwanza ya mleta mada. Wahusika ni hao hao.Watu wanajadili ubunifu wa jezi, wewe unakuja na hoja za tracksuit
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma title ya uzi na post ya kwanza ya mleta mada. Wahusika ni hao hao.Watu wanajadili ubunifu wa jezi, wewe unakuja na hoja za tracksuit
Haya sawa. Kwavile wewe ndiye uliyeleta hoja ya kuzilinganisha tracksuit, haya anza kwa wewe mwenyewe kwa kutoa maoni yako ila kumbuka pia kuweka picha zote katika mfanano wa ubora.Soma title ya uzi na post ya kwanza ya mleta mada. Wahusika ni hao hao.
Acha kujiaibisha hio ya Simba sio tracksuit!Embu linganisha tracksuit hizi mbili uniambie ipi ni ubunifu classic. Hii mitandao ubaya wake haujui unabishana na watu wa aina gani.
View attachment 2511284
View attachment 2511285
Kweli najiaibishaAcha kujiaibisha hio ya Simba sio tracksuit!
Kwa hiyo sasa mnasingizia ubora wa picha na mwanga hafifu. Mbona hamkusema hilo kwenye picha mnazotumia za Simba za uzinduzi ambazo CLEARLY mwanga haukuwa mzuri pale ukumbini?Haya sawa. Kwavile wewe ndiye uliyeleta hoja ya kuzilinganisha tracksuit, haya anza kwa wewe mwenyewe kwa kutoa maoni yako ila kumbuka pia kuweka picha zote katika mfanano wa ubora.
Ndio umeandika nini? Vunja bei ndio aliyesaini mkataba na Simba, sasa unataka akikosea aambiwe nani zaidi yake? Hizo habari za designer anajua yeye kama ni nani designer wake ila kwavile yeye kasainiana mkataba na Simba kuhusu maswala ya kit hivyo ikiletwa kitu kizuri atasifiwa yeye na pia akifanya vibaya atakosolewa yeye.Naufunga huu mjadala kwa kusema makampuni kama Adidas na Nike wana timu za team ya designers wanaofanya kazi chini yao. Mara nyingi hao designers hawajulikani maana ni wafanyakazi tu wa kampuni husika. Vunja Bei kwenye mkataba na Simba ni aina hiyo ya makampuni. Kama mnadhani VB mwenyewe ndiyo anakaa anadesign hizo jezi mnahitaji msaada zaidi ya tulivyodhani.
Kumshindanisha VB na Sheria ni kosa la uelewa. Mkifundishwa mkubali kusikiliza mnachoelekezwa.
Vunjabei anaweza kutafuta mbunifu akaingia nae mkataba akampa share yake katika ile faida anayoteneneza kwa mauzo ya jezi tatizo jamaa anataka kila kitu shilingi achukue yeye ndio. Pale yanga mwenye tenda ya kuuza na kusambaza jezi sio Sheria ni GSM kwaiyo GSM ndie anamlipa Sheria katika ile faida ya mauzo ya jezi, analipa wasambaji wa jezi ziweze kuenea nchini ndio maana jezi za yanga zikizinduliwa zinakua na ubunifu alafu kesho yake tu tayari zipo mpaka mikoani sasa vunjabei anashindwa nini kufanya ivyo. Ukipata dili kubali kugawa majukumu kazi itoke yenye ubora sasa mtu muuzaji wewe, msambazaji wewe, mbunifu wewe matokeo yake jezi zinatoka hazina ubunifu alafu zinapatikana pale sinza tuIfike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake
Namaanisha nini?
SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.
Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro (Vunjabei), Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi. Fred si mbunifu wa mavazi (Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei).
MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana kwa elfu 18 za kitanzania, ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo.
Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila shaka ashavaa sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI (Hii si kwa sababu za kibiashara Bali Ubora).
Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.
Si sahihi kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA.
Kombe la CAF hamna uwezo wa kuchukua.Jezi haichezi mpira.
Watu wanataka Kombe La Africa.
Haya mashindano ya jezi ni UTOTO.
MASIKINI TANZANIA YANGU.
Kwanza wewe si mshabiki wa Simba, mambo yake yanakuhusu nini?Ndio umeandika nini? Vunja bei ndio aliyesaini mkataba na Simba, sasa unataka akikosea aambiwe nani zaidi yake? Hizo habari za designer anajua yeye kama ni nani designer wake ila kwavile yeye kasainiana mkataba na Simba kuhusu maswala ya kit hivyo ikiletwa kitu kizuri atasifiwa yeye na pia akifanya vibaya atakosolewa yeye.
Mwingine huyu ambaye si mshabiki wa Simba ila anashinda anaizungumzia na kuikosoa.Vunjabei anaweza kutafuta mbunifu akaingia nae mkataba akampa share yake katika ile faida anayoteneneza kwa mauzo ya jezi tatizo jamaa anataka kila kitu shilingi achukue yeye ndio. Pale yanga mwenye tenda ya kuuza na kusambaza jezi sio Sheria ni GSM kwaiyo GSM ndie anamlipa Sheria katika ile faida ya mauzo ya jezi, analipa wasambaji wa jezi ziweze kuenea nchini ndio maana jezi za yanga zikizinduliwa zinakua na ubunifu alafu kesho yake tu tayari zipo mpaka mikoani sasa vunjabei anashindwa nini kufanya ivyo. Ukipata dili kubali kugawa majukumu kazi itoke yenye ubora sasa mtu muuzaji wewe, msambazaji wewe, mbunifu wewe matokeo yake jezi zinatoka hazina ubunifu alafu zinapatikana pale sinza tu
Well saidIfike mahali Watanzania tusitake kufananisha utam wa sukari na chumvi wala bei zake
Namaanisha nini?
SHERIA NGOWI anafahamika Kwa kila mtu kuwa ni mbunifu wa mavazi, Yes SHERIA kubuni mavazi ndio maisha yake, hivyo anachokifanya pale Yanga ni kuyaishi maisha yake na kuendeleza kipaji chake.
Wakati huohuo hakuna asiyemjua Fred Ngajiro (Vunjabei), Fred ni mfanyabiashara maarufu wa nguo za bei rahisi. Fred si mbunifu wa mavazi (Hana kipaji hicho ) Fred ni mfanyabiashara anayelenga kupata FAIDA Kwa kuuza nguo za quality ndogo Kwa bei ndogo pia (Kuvunja bei).
MADUKA mengi ya Fred suruali zinapatikana kwa elfu 18 za kitanzania, ni nguo ambazo quality yake ni ndogo na Fred havai hizo.
Haitatokea Abadan Sheria NGOWI akanunua nguo kwenye Maduka ya Fred lakin Fred bila shaka ashavaa sana nguo zilizopita mikonon mwa SHERIA NGOWI (Hii si kwa sababu za kibiashara Bali Ubora).
Imani yangu ni kwamba tegemea kuona Yanga wakiwa na jezi zenye ubora wa juu na bei ya juu ilihali tutegemee kuona Simba wakiwa na jezi zenye ubora mdogo na bei ndogo.
Si sahihi kumshindanisha SHERIA NGOWI na Fred Ngajiro kwenye mambo ya mavazi. SHERIA NGOWI anabuni yeye wakati Fred yupo pale Kama dalali Tu na Hana ajualo kuhusu ubunifu labda UGANGA.
Wewe unavyotoa comments kwenye maswala ya Yanga huwa yanakuhusu?Kwanza wewe si mshabiki wa Simba, mambo yake yanakuhusu nini?
Na kwenye ubunifu huko duniani hakuna kitu kinachoitwa "kukosea" ndiyo maana ukienda dukani unaangalia unachopenda ambacho hakikuvutii unaacha, haukai kusema huyu designer amekosea sana! Hizi kauli zinaonyesha ni ufinyu kiasi gani mnao kwenye masuala ya ubunifu wa mavazi.
Ushabiki usikufanye zombi kijana. Pale ambapo upande wako unakosea kubali na pale ambapo mpinzani wako anafanya vizuri mpongeze. Mbona kutwa simba mnajisifu kuhusu mashindano ya kimataifa na yanga hawajawahi kupinga ilo maana rekodi za miaka ya karibuni zinaongea zenyewe. Kwenye suala la ububifu wa jezi kila kitu kipo wazi tangu GSM achukue iyo tenda yanga amekua akitoa jezi zenye ubora na ubunifu kuliko simba na hata wenzako wanakubali ilo. Ushabiki sio kupinga kila kitu cha mpinzani hata kama ni kizuri au kukubali kila kitu cha upande wako hata kama ni kibaya.Mwingine huyu ambaye si mshabiki wa Simba ila anashinda anaizungumzia na kuikosoa.
Kwa nini unataka sana Simba wafanye anavyofanya Yanga? Unataka mpaka usikie Khadija Mwanamboka ndiye anadesign jezi ya Simba ndiyo ufurahi? Mnavamia mambo ambayo hamna uelewa nayo.
Masuala ya uzuri au ubaya wa jezi ni "subjective" ndiyo maana tunaweza kukesha hapa tunabishana na tusikubaliane. Mimi ninachoona Simba na VB wanaenda na classic styles za jezi ambazo huwa ziko simple bila maurembo mengi. Wengine (wakiwemo baadhi ya mashabiki wa Simba) wanapendelea jezi zenye mambo mengi ndiyo maana jezi ya blue inatokea kupendwa na hao watu.Ushabiki usikufanye zombi kijana. Pale ambapo upande wako unakosea kubali na pale ambapo mpinzani wako anafanya vizuri mpongeze. Mbona kutwa simba mnajisifu kuhusu mashindano ya kimataifa na yanga hawajawahi kupinga ilo maana rekodi za miaka ya karibuni zinaongea zenyewe. Kwenye suala la ububifu wa jezi kila kitu kipo wazi tangu GSM achukue iyo tenda yanga amekua akitoa jezi zenye ubora na ubunifu kuliko simba na hata wenzako wanakubali ilo. Ushabiki sio kupinga kila kitu cha mpinzani hata kama ni kizuri au kukubali kila kitu cha upande wako hata kama ni kibaya.
Mbona umemjibu kirahisi sana ,, Yani yeye kawaza pakubwa kuliko wewe ulivyo mjibu. Mtu akisoma haraka haraka anaweza akajua wewe ndio wakike na yeye ndio wakiume..Dada unapenda vibaya wewe,haya basi olewa na Sheria Ngowi tumalize huu ubishi wa kitoto.
Hakuna ukweli hapo. Tunaangazia ubunifu sio rangiSimba afananishwe na Coastal Union FC kwakuwa wanatumia rangi sawa.
Yanga afananishwe na Norwich City FC au Mamelody Sundowns kwakuwa wanatumia rangi sawa.
Halafu tangu lini Yanga akapenda vitu vya Simba and vice versa.
Na kwa maelezo yako haya wewe ni shoga mwandamizi.Mbona umemjibu kirahisi sana ,, Yani yeye kawaza pakubwa kuliko wewe ulivyo mjibu. Mtu akisoma haraka haraka anaweza akajua wewe ndio wakike na yeye ndio wakiume..