Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ila ata dar anaweza, mana sikuizi makaazi ya mtu kwa mda wa 5+ years inakufanya uwe mkazi wa eneo husika na kufaidika na fursa za hapo. Plus ana hela na elimu and hes smart, na kwenye siasa hela ni kila kitu. So 2025lazima ale ubunge kwa hatua hiyo.Kwao Makete Huyu, anamuashia Taa Yule Mbunge Wa Makete Anaitwa Sjui Seneta Sanga [emoji3][emoji3][emoji3]
Ambacho si kitu kibaya kwakweli kama nia yao ni kutumia uzoefu wake, uthubutu wake na maono yake katika nyanja ya vijana kujikwamua kiuchumi na kuwa na mchango mali kwenye ustawi wa jamii zao na nchi yao.Nice and smart. Mipango ya kuingia bungeni 2025. Km hamuamini tusubiri 2025
Kuna dogo nilimuacha chuo miaka 2, amemaliza chuo 2020 akachukua fom ya ubunge mbeya. Nilicheka sana nikamwambia dogo km utapata kura 10 kwenye maoni tu bas umeshinda. Alidhani ubunge ni km uvccm, ni rahisi tu na mtu hohehahe anapata!!! Aendelee kujipanga tumshikaji wetu seneta sanga kaa mguu sawa hapo makete. dogo anakuja kwa speed ya bus la sauli
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wakinga wa siku hizi wana mipango!
Vyote viwili ila na yeye atafaidika zaidi. Biashara zake zitanyooka sana. Dunia ya sasa lazima uliwe ndo ww ule zaidi, nukuu ya JKAmbacho si kitu kibaya kwakweli kama nia yao ni kutumia uzoefu wake, uthubutu wake na maono yake katika nyanja ya vijana kujikwamua kiuchumi na kuwa na mchango mali kwenye ustawi wa jamii zao na nchi yao.
Japo intuition yangu inataka kuniaminisha kuwa kilichomuweka hapo na wanachokitarget wananzengo wale walioomba msamaha kwa wananchi kwa makosa yasiyojulikana mara baada ya JPM kwenda zake: ni ushawishi wa mfuko wake na si akili zake.
Hii tabia ya mwenyekiti kuja na jina mfukoni haitakaa iishe huko CCM
Kama huna pesa na unataka siasa, inakubidi uwe na hoja na uanzie vyama vidogo uonekane.Kuna dogo nilimuacha chuo miaka 2, amemaliza chuo 2020 akachukua fom ya ubunge mbeya. Nilicheka sana nikamwambia dogo km utapata kura 10 kwenye maoni tu bas umeshinda. Alidhani ubunge ni km uvccm, ni rahisi tu na mtu hohehahe anapata!!! Aendelee kujipanga tu
Ni nukuu mbaya sana[emoji1787]Vyote viwili ila na yeye atafaidika zaidi. Biashara zake zitanyooka sana. Dunia ya sasa lazima uliwe ndo ww ule zaidi, nukuu ya JK
Festo Sanga anakubalika mno Makete na kwa bahati nzuri watu wa kule hawaangalii Pesa, wanaangalia utu zaidi!mshikaji wetu seneta sanga kaa mguu sawa hapo makete. dogo anakuja kwa speed ya bus la sauli
Safi sana,Mwamba,kwa mbaaali nauona ubunge huoooo,Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna
----
Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchumi, Uwezeshaji na Fedha kupitia kikao cha Baraza Kuu ambacho kimemalizika jana Makao Makuu ya CCM Dodoma.
Kamati ya utekelezaji chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Kheri James ilikuja na pendekezo la jina la mwenyekiti huyo wa kamati ambapo baadae alithibitishwa na wajumbe kwa kura nyingi za ndio huku katibu wake akifahamika kwa jina la Rose Manumba, Baraza lilichagua wajumbe wengine wanne wa kamati kutoka bara na visiwani.
Nyie wahehe mlizidiwa ujanja na wakinga.Mkinga huyu dogo!
Asipokuwa makini atatumika kama teliot repepHiyo kamati itakuwa inaomba michango ama vipi? Sasa hapo si ndio atakuwa mtoaji mkubwa[emoji15]