Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

Anaweza akauza matambara/maronya kweli kama msemavyo?
Na anawabughudisha wasanii wetu wa kitanzania kwa kinywaji cha bei kali cha henesi wakiwa ku basi
 
Nguo zake ukivaa mpya ukivua rangi ya nguo inabaki kwenye ngozi.

Kadeti finishing kama za fundi maiko nyuzi zinaning'inia.

Billionaire wa Instagram anashea chupa ya Hennessy na machawa 😊
angekuwa na pesa anayopiga jamaa mwenye sandaland sijui kama tukikunywa maji
 
Siku moja nilitaka nikamuunge mkono nikaenda kwenye moja ya duka lake aisee zile nguo hasa suluali sio za kuvaa mwanaume mwenye heshima zake au kunithamini. Zinawafaa wanyoa viduku tuu.
Na ndo target yake hyo..siku ukielewa biashara utamsalute...mbona Mo anauza energy drink ya jero..unahis ali target wauza sura..yeye katarget waendesha boda na watu wengne wa chin
 
Wako Dodoma sehemu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…