Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

Siku moja nilitaka nikamuunge mkono nikaenda kwenye moja ya duka lake aisee zile nguo hasa suluali sio za kuvaa mwanaume mwenye heshima zake au kunithamini. Zinawafaa wanyoa viduku tuu.
mi huwa sijui naanzaje kuingia kwenye yale maduka yake....nafikiri wa mikoani hasa wasukuma ndiyo walengwa wake wakubwa
 
Niliwahi fika kwa duka la vunjabei pale Sinza
Ni uchafu ni vurugu
Hakuna original zote ni made in China toleo la nne vichochoroni Guangzhou
Nguo zinachuja rangi hatari
Ni bora uende Kariakoo kuliko vunjabei (ni maoni yangu tu)
Sina nia mbaya ya kumkatisha tamaa lakini ukweli hakuna nguo original pale. Ambayo haichuji rangi labda ununue kofia nyeupe na shati jeupe tofauti na hapo utavaa wiki mbili unadekia nyumba
 
Biashara huria. Ukitaka maduka ya nguo zako yapo mengi, ila usimlazimishe audhe nguo za bei ghali, wakati wateja wengi anao watarget yeye ni wa kipato kidogo. Ndo strategy ya biashara yake. Hizo unazozitaka nenda pale maduka ya Mlimani City utazipata na bei yake imesimama vile vile. Lakini usijipende kutaka vitu original wakati bajeti yako 20000
kuna tofauti kubwa kati ya OG mtumba na mpya feki za Vunja bei.....hiyo 20,000 unaweza kitu matata sana kwenye mtumba OG
 
Mimi juzi tumepitia hapo tulipata dharura mtoto aliumwa tukasema hebu tupate viwalo tuunge hospital. Kwanza walirudi na fungu la nguo... yaani hata ronya ya miaka ile kariakoo ina nafuu. Sema bei na nguo vinaendana kiasi japo ilibidi iwe less zaidi aisee.
Kuna dada hapo chini ya duka lake (lenye ghorofa) ukweli anauza vitu original kama vya South kabisa japo bei mbaya. Gauni unapata kuanzia 120,000 kwenda juu.
 
Niliwahi fika kwa duka la vunjabei pale Sinza
Ni uchafu ni vurugu
Hakuna original zote ni made in China toleo la nne vichochoroni Guangzhou
Nguo zinachuja rangi hatari
Ni bora uende Kariakoo kuliko vunjabei (ni maoni yangu tu)
wapi original zinapatikana?
 
Vubja Bei

Nliingia kwako nkawa nachagua jins ..nkaambiw 19 skupata hata moja, Kuna upande nkaona jins na kadet zile men zenyew, huwez Amin wakanambia hz vip huruhusiw kuchagua zna watu wake , nkasema Kwan shngap hawakutaja Bei, af nikwachek wauzaji ni wengi wengne sjui magay hata skuelewa af jinz zenyew walisema nschague ni za 35 tu
walikuchukulia poa
 
Back
Top Bottom