Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

Ngoja wakuonyeshe zile za T-shirt moja 100k kupanda juu...

Uambiwe nguo original brands kama Gucci, Versace, calvin Klein, Ralph Lauren, Loius Vuitton, Hermes, Prada halafu wajuba wanakwambia ni elfu kuni na tano au elfu tisa ushindwe kujiongeza
 
Halafu watu wanatakiwa kujua kuwa fake doesn't necessarily have to be of low quality.

Mfano: Mtu anaweza kutengeneza Juisi bora kabisa kuliko za Azam, ila kama akizi brand Azam tayari hiyo ni Azam fake hata kama ni high quality.

Ukitaka Brands z mtumba, kabda uagize mtandaoni kwenye consignment shops kutoka Marekani. Siyo bei rahisi vile vile.
p funk majani nasikia na yeye huwa anaenda kununua nguo zake marekani
 
Fake ni pale unapotengeneza bidhaa na kuipa jina la Bidhaa nyingine bila makubaliano halali ya Kisheria.Tengeneza Juice hiite Jina lako ..lakini unapoibatiza jina la mtu mwingine hilo alikubaliki.China inaongoza kwa kuzalisha fake Products.Mwaka juzi waliwai tengeneza Fake Mercedis Benzi.hapa TZ TV,Simu,Pombe kali vyenye majina makubwa vingi Ni fake kutoka China
hivi hawajawahi kuchukuliwa hatua?
 
angekuwa na pesa anayopiga jamaa mwenye sandaland sijui kama tukikunywa maji
Jamaa kawateka vibaya mno wakongo daily ukienda dukani kwake lazima upishane nae...sandaland kiboko
 
Ushauri Wangu Kwako Vunja Bei uchukur au ukatae..Epuka Media...Wacha Matendo yaongee..Kwasababu bado Unakua Ujue Hiyo Hiyo Media inayokupaisha ndio hiyo hiyo itakushusha ushangae.

Kingine Sio kweli kwamba una nguo Original..Hilo sio kweli.
 
Nguo og zipo south si hapa bongo hapa ni michina tu
Nguo nyingi duniani hata za huko New York,London,Paris,South ni made in China,tofauti ni made in China kwa niaba ya mabeberu na zinazofeli standard ya beberu ndiyo tunaletewa Africa.ndiyo maana unapata gucci ya laki kiuhalisia hakuna kitu cha gucci kinaweza uzwa laki ya madafu.Gucci mwenyewe hatambui store inayoitwa vunja bei inasambaza vitu vyake.
 
Kuna dada hapo chini ya duka lake (lenye ghorofa) ukweli anauza vitu original kama vya South kabisa japo bei mbaya. Gauni unapata kuanzia 120,000 kwenda juu.
Kabisaaa. Bora ununue kitu unajua kina quality kwa bei kubwa na siyo shorts kwa 15k halaf akifua haivaliki tena
 
Back
Top Bottom