Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

Siku moja nilitaka nikamuunge mkono nikaenda kwenye moja ya duka lake aisee zile nguo hasa suluali sio za kuvaa mwanaume mwenye heshima zake au kunithamini. Zinawafaa wanyoa viduku tuu.
mi huwa sijui naanzaje kuingia kwenye yale maduka yake....nafikiri wa mikoani hasa wasukuma ndiyo walengwa wake wakubwa
 
Niliwahi fika kwa duka la vunjabei pale Sinza
Ni uchafu ni vurugu
Hakuna original zote ni made in China toleo la nne vichochoroni Guangzhou
Nguo zinachuja rangi hatari
Ni bora uende Kariakoo kuliko vunjabei (ni maoni yangu tu)
Sina nia mbaya ya kumkatisha tamaa lakini ukweli hakuna nguo original pale. Ambayo haichuji rangi labda ununue kofia nyeupe na shati jeupe tofauti na hapo utavaa wiki mbili unadekia nyumba
 
kuna tofauti kubwa kati ya OG mtumba na mpya feki za Vunja bei.....hiyo 20,000 unaweza kitu matata sana kwenye mtumba OG
 
Kuna dada hapo chini ya duka lake (lenye ghorofa) ukweli anauza vitu original kama vya South kabisa japo bei mbaya. Gauni unapata kuanzia 120,000 kwenda juu.
 
Niliwahi fika kwa duka la vunjabei pale Sinza
Ni uchafu ni vurugu
Hakuna original zote ni made in China toleo la nne vichochoroni Guangzhou
Nguo zinachuja rangi hatari
Ni bora uende Kariakoo kuliko vunjabei (ni maoni yangu tu)
wapi original zinapatikana?
 
walikuchukulia poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…