Fred Vunjabei amaliza deni la mkopo chuo (HESLB)


Nafikiri swala la msingi hapa ni;
Alistahili kupata mkopo wa Chuo na kuwaacha watoto wa maskini wakibakia bila mkopo???
Na kama hakustahili, wajue watu wanavyo lalamika kuwa, kuna mapungufu kwenye mfumo wa kuchuja wanufika wa kupewa mikopo ya Elimu ya juu ni kweli; hivyo wizara ipitie upya taratibu zake ili watu wa jamii hiyo wasiendelee kuwanyima masikini fursa.....
 
Hiyo hela naisotea mbaya aisee ndo mana nasemaje ntadai mpk warudishe.
Mkuu ni binti yangu wa pekee yaani nimempiga msasa sana kabla na kumwambia ntakuhonga chochote mi babaako.
Suprise kaleta mtoto[emoji56]
Yaani[emoji2357]

Si bora hata huyo kamaliza na chuo wengine hata shule au chuo hajamaliza wanabeba mimba
Sasa anaish na jamaa yake au ?
 
Unazingua kweli, ungemuozesha mapema akaenda kusoma akiwa n mme wake. Wala usingefika kulalamika huku.
Ilo moja.
Pili, kwan hajagraduate ???
Kama umemsomesha na amemaliz sasa makasiriko ya nini ?
Sizingui chochote, ni binti yangu nimesamehe Sasa namwangalia tu.
Kwamba kinachofuata nini.?
Ulezi si lelemama nimejaribu kutengeneza misingi bora na risala kibao imeshindikana.
Sasa tuone maendeleo.
Ni tayari singomaza na mtu wake haeleweki
 
kama kwa mti mbichi kama yeye miaka yote hiyo anadaiwa hadi leo ndo anakamilisha hako ka mkopo je habari gani kwa miti mikavu huku mitaani
 
Haeleweki huyo bwa mdogo ndo mana nikasema mi ntadai changu watalipa wote watatu,
Kwasababu uhuni si tumejiuzulu tu

Ahaa nakuelewa watoto wakike kujibebesha mimba utafikiri tulitumwa mimba na mtu Ndio haeleweki sasa
 
Oyaaaa umeua🤣🤣🤣
 
Ndicho kinachofanyika Mkuu.

Ofisi nyingi za haya mataasisi, wanabarua zipo, ni mwendo wa kuedit tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…